SBS RADIO 94.4 FM

SBS RADIO 94.4 FM

Share

SBS 94.4 is a commercial regional radio station based in Kilifi town. It broadcasts in Swahili langu

01/09/2026

๐ŸŒŠ MAJI, HAKI NA USAWA! ๐ŸŒŠ
Kesho, 2nd September 2026, usikose kuungana nasi kwenye Shungwaya Breakfast Show kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi 3:00 asubuhi, kupitia SBS Radio 94.4 FM โ€“ Dira ya Pwani. ๐ŸŽ™๏ธ
Tutakuwa na Diana W. Waithera, Project Lead wa Kilifi Women for Water Justice Initiative, katika mjadala muhimu wenye mada:
โ€œMaji, Haki na Usawa: Healing, Resilience and Womenโ€™s Leadership in Water Justice in Kilifi County.โ€
Tutazungumzia nafasi ya wanawake katika kupigania haki ya maji, changamoto wanazokabiliana nazo na namna jamii inaweza kujenga mustakabali wenye haki, usawa na upatikanaji bora wa maji kwa wote. ๐Ÿ’ง๐Ÿค
๐Ÿ“ž Piga simu na ushiriki: 0759760700 / 0783543532
๐ŸŽ™๏ธ Host: James Nyambu Katoto
Usikose! Shungwaya Breakfast Show โ€“ mazungumzo yenye maana, kwa jamii yenye mwelekeo.

01/09/2026
01/09/2026

Isikupite hii

Photos from SBS RADIO 94.4 FM's post 28/08/2026

Hujambo na karibu.
Hii hapa sare mpya ya Jeshi la Polisi la Kenya. Unaionaje?

24/08/2026

Hujambo na Karibu. Hizi hapa Kauli za Wakazi wa Lamu kuhusu Mradi wa Kusafisha mafuta wa Dangote Oil Refinery.

24/08/2026

Kauli za Wanaharakati wa haki za Binadamu Kaunti ya Lamu kuhusu mradi wa Dangote Oil Refinery.

24/08/2026

Wakati ni sasa

Want your business to be the top-listed Media Company in Kilifi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

1013
Kilifi
80108