Modo Midundo

Modo Midundo

Share

🐦 Kwa mahitaji ya Raba kali
@Modo Midundo
0787616723. Dar es salaam

07/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Moudy Ngote, Veronica Upunda

CALISAH ATAPELIWA KUHUSU SHAKILA WA KENYA 18/08/2024

CALISAH ATAPELIWA KUHUSU SHAKILA WA KENYA Story kuhusu wasanii na watu maarufu tembelea chanel yetu

Photos from Modo Midundo's post 17/08/2024

"DEAR MFANYABIASHARA"

Pole kwa yote magumu unayopitia'najua ni changamoto zinazopita! biashara ni sawa na mpenzi uliyempata kwa uharaka au kwa kuvumilia! uliyempata kwa uharak uenda hasidumu k**a kwa yule aliyekuangisha na kumvumilia! hiyo ndo biashara!

mafanikio na matokeo mazuri hayaji kwa uharaka lazima usote kimtindo kwahyo uvumiliv pamoja na juhudi ndo nguzo pekee"zinazoweza kukufanya ufikie malengo dear mfanyabiasha!
kodi nayo ni changamoto nyngne kipato kidogo afu kodi kubwa ! kweli dunia haiko sawa! uzima na kuwa karibu na muumba ndo jibu tosha! utashinda "dear mfanyabiasha" me ni
KimodoMsfi Og
... Hili ni shairi unaweza kulipata kwa njia ya sauti... Stay connected.
.......
○ Bora kuwa mvuta bangi kuliko kuwa Malaya♡...

26/06/2024

3. Hakuna kiumbe chochote cha kubeba sifa ya malaika.. Wewe mwanaume unayedanganyika kwa wanawake na kuwapa jina Malaika unakosea Sana.. Au mtoto mdogo kuwa ni malaika .. Unakosea sifa ya malaika ni ya kipekee afu hakuna ... Aliyewai Ku on a malaika mwenye jinsi ya k**e au kiume ... Ila malaika hawezi kuwa wa k**e...!! Uzuri wa malaika unaanzia ucha mungu sio vigagura ..wanadamu....!! ......... Acha kuendeshwa na mapenzi........

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Islamabad?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Islamabad