AAIDRO SACCOS

AAIDRO SACCOS

Share

Chama Cha Ushirika wa Akiba Na
Mikopo

Photos from AAIDRO SACCOS's post 21/02/2024

LEO TAREHE 21.02.2024 AAIDRO SACCOS LTD IMETOA P**A ZA KUHIFADHI TAKA IKIWA NI SEHEMU YA KUKUMBUSHA JAMII NDANI PAROKIA KUTUNZA MAZINGIRA YAO PIA AAIDRO SACCOS IMETIMIZA MSINGI NAMBA SABA WA USHIRIKA AMBAO NI KUJALI JAMII.

AAIDRO SACCOS LTD-KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

24/12/2023

Uongozi wa Aaidro Saccos Ltd, unawatakia wanachama na watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya

09/12/2023

"Uhuru wetu, ndoto yetu. Tuna sherekea miaka mingi ya mafanikio na umoja. Hongera Tanzania! 🌟🇹🇿 "

Photos from AAIDRO SACCOS's post 20/11/2023

WANACHAMA WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

MAFUNZO HAYA YAMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA EPIPHANY CENTRE BURKA

AAIDRO SACCOS LTD- KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

Photos from AAIDRO SACCOS's post 16/11/2023

VIONGOZI WA AAIDRO SACCOS LTD WAMEFANIKIWA KUPATIWA MAFUNZO NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

MAFUNZO HAYA YAMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA EPIPHANY CENTRE BURKA

AAIDRO SACCOS LTD- KUA KIUCHUMI BORESHA MAISHA YAKO.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

P. O Box 3044
Arusha
23000

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00