Carlos Ricky Wilson Kirimbai
Carlos R. W. Kirimbai is a Minister of the Gospel.
Usichukulie kiuwepesi swala la kulishwa katika ndoto na watu usiyowajua tena vitu usivyovijua.
Kila mpishi muovu katika ulimwengu wa roho tunampiiigaaaa kwa Jina la Yesu.
Kila jiko ovu tunalibomoa na kulisambaratisha kwa Jina la Yesu.
Tunasambaratisha na kuharibu kila chatu kinyume na maisha yako kwa Jina la Yesu.
Huyo chatu wa familia, ukoo, kijiji, na kabila anaangushwa kwa Jiiiiina la Yesu.
Tunatangua kila hila kila mpango na kila mkakati muovu dhidi yako, vya kwako na wa kwako kwa Jiiiina la Yeeeeeesuuuu!
Funguka, kuwa huru kwa Jina la Yesu.
Click here to claim your Sponsored Listing.