Frida Ordination

Frida Ordination

Share

Insta @frida_ordination_
@tracy_trends_accessories_

13/04/2026

Jitahidi kujibu DMs za wateja wako

09/02/2026

Sio kila yogurt ni ya kawaida.
Kuna ile inayokufanya uonje halafu utake tena.

Laini, halisi na imeandaliwa kwa ubora wa hali ya juu.

📍 Tunapatikana Iringa mjini.
DM kupata yako.
0717731101

02/02/2026

Influencers na content creators hii inawahusu👋🏽

02/02/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

Mbogo Malata, Chury Mlyuka, Rudger Rrmlw, Israel Mwaisanga, Deniss Tarimo

29/01/2026

IS YOUR CONTENT ACTUALLY CLEAR?

28/12/2025

Watu hawakai wakikuwazia k**a unavyodhani.
Wana maisha yao.
Wewe una ndoto zako! Eti uzisimamishe kwa sababu ya mawazo ya watu? Hapana.

Acha kujipa umuhimu kupita kiasi,
anza kujipa nafasi ya kukua.

👇 Comment NIMEACHA k**a umeamua kujichagua kuanzia sasa

27/12/2025

Usiangalie hali ilivyo sasa…
Angalia Mungu unayemwomba.
Maana kinachotamkiwa uhai kwa imani
Basi kinakuwa hai!

Like, comment, share kwa mtu unaempenda & save pia

24/12/2025

Mimi na wanakijiji wenzangu tunawatakia Christmas Njema!!!!

Photos from Frida Ordination's post 24/12/2025

Unataka kuanza kitu…
lakini hujui uanze wapi?

Ukweli ni huu:
Haujakosa uwezo.
Umejaa tu mawazo mengi kuliko hatua.

Hakuna aliyeanza akiwa tayari.
Wote tulianza kwa kujaribu, kuogopa, na kujifunza njiani.

Usingoje ujasiri.
👉 Anza, hata k**a ni kidogo

K**a hii message imekugusa 💛

💬 Niambie, ungependa kuanza nini?
Biashara? Content? Kitu kingine?

📌 Save post hii , like , comment
🤍 Share kwa mtu anayehitaji kusoma hiii

Want your school to be the top-listed School/college in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frida Ordination posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Iringa.