Fimedia Service
Transforming Ideas Into Professional Solutions. Digital Solutions for Everyone
We help Individuals, Entrepreneurs & Businesses turn their ideas into professional Designs, Documents, Branding & Digital Solutions.
01/09/2026
πΏ HELLO SEPTEMBER! π
Mwezi mpya, mwanzo mpya, na fursa mpya za kukuza biashara yako kidigitali. π
Katika FIMEDIA SERVICE, tunakusaidia kujenga muonekano wa kitaalamu na kuvutia kupitia:
π¨ Social Media Post Design
π± Story & Reel Templates
β¨ Logo & Brand Identity
π’ Social Media Ad Design
π Branding for Social Growth
TUKUSAIDIE KUKUA KIDIGITALI β PAMOJA! π€π
π 0785 914 409 | 0614 317 185
π§ [email protected]
23/08/2026
π₯ LETA KAZI YAKO, TUNAIFANYA KUBWA!
Usiache idea yako ionekane kawaida. π
Kuanzia Graphic Design, Branding, Social Media Designs, Presentations na kazi nyingine za ubunifu β tupo tayari kuipa kazi yako mwonekano wa kitaalamu, wa kisasa na unaovutia.
π© Tuma kazi yako sasa!
Tuambie unachohitaji, sisi tutakusaidia kukifanya kiwe bora zaidi.
Fimedia Service
Your Vision. Our Creativity. π
π UMEPATA CHUO UNACHOKITAKA?
Hongera! π Lakini kabla hujaanza kusherehekea sana, jiulize:
π Application yako iko tayari?
Usikose nafasi ya masomo kwa sababu ya application isiyo sahihi au kukosea hatua muhimu.
FIMEDIA SERVICE tunakusaidia kwenye:
β
College & University Applications
β
Kujaza application forms
β
Kuandaa na ku-upload documents
β
Mwongozo wa hatua kwa hatua
β
Msaada katika mchakato wa application
π Fursa ya masomo inaanza na application sahihi.
Usisubiri mpaka deadline ikufikie. Anza sasa!
π 0785 914 409 | 0614 317 185
π§ [email protected]
FIMEDIA SERVICE β Digital Solutions for Everyone.
NACHEKA KITU KIMOJA ππ
Biashara yako inaweza kuwa nzuri, lakini muonekano wake ndiyo unamfanya mteja akuamini au akupuuze.
Usiishie kwenye βnina biasharaβ β ijenge ionekane professional. π₯
π¨ Graphic Design
β’ Posters & Flyers
β’ Logo Design
β’ Brand Identity
β’ Social Media Designs
β’ Banners & Roll-ups
β’ Brochures & Catalogues
β’ Business Cards
β’ Packaging Design
π Fimedia Service β Tunakusaidia kuipa biashara yako muonekano unaostahili.
π² 0785 914 409 | 0614 317 185
Tuna ubunifu. Tuna suluhisho. TUNA MATOKEO!
20/08/2026
Usikose kinachoendelea FIMEDIA SERVICE! ππ²
Tufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii ili upate:
β¨ Updates mpya
π₯ Ofa & promosheni
π‘ Tips za kidigitali
π¨ Huduma zetu mpya
π Elimu na maarifa muhimu
FOLLOW US & GROW WITH US! π
π² Facebook: Fimedia Service
πΈ Instagram:
π Tufuate leo β usibaki nyuma!
π0785914409/0614317185
Dunia inabadilika kwa kasiβna kuwa na digital skills sahihi kunaweza kukupa uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kujifunza haraka na kutumia fursa za kidigitali. π»π±
Hizi ni skills 5 muhimu:
π¨ 1. Graphic Design β Tengeneza visuals zinazovutia na kuwasilisha ujumbe kwa ufanisi.
π’ 2. Digital Marketing β Jifunze jinsi ya kufikia, kushirikisha na kukuza audience mtandaoni.
π€ 3. AI Tools β Tumia AI kuongeza ubunifu, productivity na ufanisi katika kazi zako.
π¬ 4. Video Editing β Badilisha mawazo yako kuwa video zinazovutia na kushirikisha watazamaji.
π 5. Online Research & Productivity β Tafuta taarifa sahihi na tumia online tools kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
π‘ Swali: Kati ya hizi 5, ni skill gani ungependa kujifunza kwanza? π
πFIMEDIA SERVICE
Digital Solutions for Everyone
14/08/2026
π HUDUMA ZOTE KWA MAHITAJI YAKO!
Unahitaji kuomba chuo, kazi, mkopo HESLB, CV & Cover Letter, Project Proposal au huduma za Graphic Design? ππΌππ¨
FIMEDIA SERVICE tunakusaidia kwa huduma za haraka, za kuaminika na zenye ubora. Tunapatikana kwa ajili ya:
β
Maombi ya Vyuo & Vyuo Vikuu
β
Maombi ya Kazi
β
Maombi ya Mikopo HESLB
β
Uhahakiki wa Vyeti (RITA)
β
CV & Cover Letter
β
Project Proposal & Business Plans
β
Poster, Logo, Flyer, Business Card & Company Profile
na huduma nyingine nyingi za Graphic Design.
π₯ OFFER YA LEO: CV + Cover Letter kwa TSH 10,000 tu!
π² Wasiliana nasi: +255 746 100 456
π Tupo Mjini, Tanzania
π§ [email protected]
FIMEDIA SERVICE β Digital Solutions for Everyone.
π Fanya Leo, Furahia Kesho!
13/08/2026
π₯ FIMEDIA DAILY WORK #002 π¨
LOGO SI PICHA TU. NI UTAMBULISHO WA BIASHARA YAKO.
Kila logo huanza na wazo. π‘
Leo tunaonyesha safari ya design kutoka:
IDEA ->SKETCH->DESIGN-> FINAL LOGO
Tunachukua wazo la biashara yako na kulipa utambulisho unaoonekana professional, unique na wenye impact.
β¨ Biashara yako inastahili kuonekana professional.
π UNA WAZO? TULIPE MWONEKANO.
FIMEDIA SERVICE
Graphic Design β’ Branding β’ Social Media Design β’ Printing
π 0785 914 409 / 0614 317 185
π§ [email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Iringa
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Fimedia Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.