CHRIS BEE
Presenter:- WENDE FM RADIO 94.3
WANGING’OMBE | Rapper | Hip Hop | Afro Pop | RnB | Song writer | Recording Artist.
23/09/2026
Nakupitisha Hapa Ngome Imara Ya “Nguvu Ya Upendo” Ni Sisi Wende FM 94.3 Wanging’ombe, Njombe, Tanzania……
Cc Wende FM Wende FM Wende FM
22/09/2026
Twende Na Hii Chalenge https://www.instagram.com/reel/DdmOhMTCrg1/?stkn=MWxhOTI3cDdyb3owaw==
Unaelewa nini kuhusu Kifungua Kinywa? #nguvuyaupendo❤️🤍 #WendeFM
22/09/2026
Wana Nikusambaziana “Nguvu Ya Upendo” Na Wende FM Endelea Kusikiliza Kupitia Code Ya Kizazi 94.3 Wanging’ombe, Njombe, Tanzania.
22/09/2026
Kimbizaji Mwenge Innocent Nzota
Endelea Kula Ngoma Baada Ya Ngoma Kupitia Familia Kubwa Ya Nguvu Ya Upendo Wende FM 94.3 Wanging’ombe, Njombe, Tanzania.
21/09/2026
ZAHANATI HII ITAKUSHANGAZA TOKA ENZI ZA
NYERERE HADI SASA.
ZAHANATI HII ITAKUSHANGAZA TOKA ENZI ZA NYERERE HADI SASA Tuambie ni zahanati au Kituo kipi Cha afya Kinahitaji Maboresho kam...
21/09/2026
HUYU NDIYO MKULIMA BORA KITAIFA 2026
KUTOKA NJOMBE AFICHUA SIRI NZITO.
HUYU NDIYO MKULIMA BORA KITAIFA 2026 KUTOKA NJOMBE AFICHUA SIRI NZITO Mwalimu Abishaye Haluni Mwalongo, maarufu kwa jina la “Mr. Maparach...
21/09/2026
Nyanda Za Juu Kusini Hii Nyingine Tena Ya Kwetu Tuibebe. Tupige Kura Kwa Wingi Kwa Icon Yetu B2K MNYAMA Ambaye Ametajwa Kuwania Tuzo Kubwa Za EAEA.
✓Mashabiki Link Ya Kumpigia Kura Iko Kwa Instagram BIO Ya EAEA TANZANIA: EAEA TANZANIA Niwaombe Tukampigie Kura Hii Tuichukie Mapema Tu
Asante EAEA GLOBAL : EAEA™•••GLOBAL for nomination
EAEA TANZANIA .
20/09/2026
WENDE FM 94.3 Nguvu Ya Upendo
Tokea Mjengoni Igwa+ Wanging’ombe.
Cc Wende FM ★Journalist Jalilu Zaid Joseph J Kinyamagoha Mfaume Sammy Phiner Chriss FRANCES CHOBO
Mood…..
18/09/2026
Wana Kabisa Nguvu Ya Upendo FRANCES CHOBO Innocent Nzota Joseph J Kinyamagoha Benzo Sanga sangahimself_The baddest Elisha Antony Mfaume Sammy Dadakivu Rachel Dandu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Iringa
51109
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when CHRIS BEE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.