Find health & beauty businesses in Kasulu. Listings include LAZA Herbal Clinic, Mbasa Herbal Clinic, IdM Pharmacy, Nsodya Nutrition Centre, Health and Wealth Assistance, ARABE.
LAZA HERBAL CLINIC, Tunatoa huduma za tiba asilia, Hijama,Dua/kisomo na ushauri wa kitaalamu.
Mbasa Herb Clinic Ni kituo cha Tiba Asilia kinachotoa Ushauri wa kiafya Na huduma za Mitishamba.
NUTRITION EDUCATION AND COUNSELING ON DIETARY INTAKE AND OBESITY, DIABETES MANAGEMENT
Tunatoa huduma kutokana na matatizo mbali mbali za kiafya kupitia bidhaa asili(natural products) tulizo nazo.
Karibu hudma ya tiba asili, visomo na dua. InshAllah utafanikiwa kutatua changamoto zinazokusibu.
Tunatoa Huduma za Tiba Asili, Visomo kwa watu wote, Usikae na Tazito Njoo Tuweze kukusaidia.
Fukang Health Care ni kampuni inayohusika na tiba lishe kutibu magonjwa sugu ya aina mbalimbali. Hutoa huduma ya vipimo na dawa kwa gharama nafuu zaidi. Aidha ni fursa ya kipato kw...