MACHA JR
Love sms/jumbe za mapenzi & songwriter/mwandishi wa nyimbo
12/02/2026
Nilikupenda Toka mwanzo
Nitakupenda Hadi mwisho
Kwangu we Ni wa mwanzo
Nautakua pia wa mwisho
Moyo wangu unakupenda
na Mimi nakupenda
We ndo sababu unadunda
Please usiache kuulinda
furaha yangu ipo mikononi mwako
Huzuni yangu ipo kwenye hasira zako
Tabasamu langu lipo kwenye sura yako
Maumivu yangu yapo kwenye kilio chako
Nifanye nitabasamu
Pale ukitabasamu
Nifanye niwe na hamu
Pale unapo Ni chumu
Nifanye nitulie
Usemacho niitikie
Usinifanye nilie
Utanitesa mno bibie
Nakupenda leo na kesho
Sinto kuumiza K**a jana na juzi
Nitakulinda na kukutunza
Na kuahidi sinto kuliza
love you so much
JR
01/02/2026
Mapenzi ni kitu cha ajabu
Ambacho huwezi kujaribu
Ni swali lisilo na majibu
Ukijiuliza sana utajipa tabu
Hisia ni namba isio gawanyika
Hisia ni fimbo iliyo nyooka
Hisia zina sumu zaidi ya nyoka
Hisia ni kitu kisicho na mipaka
Ukipenda weka wazi
Ukificha utajiumiza mwenyewe
Ni mabaya mapenzi
Ukijifanya wewe ndo wewe
Amini katika hisia zako
Usiamini katika hamu zako
Sikiliza sana moyo wako
Usiyazingatie ya mwili wako
Mapenzi hayana majaribio...
Ukijaribu utaambulia kilio.....
...Ishi katika kile unacho kiamini...
JR
siku: ijumaa
Tarehe: 30/1/2026
Tunaanza upya rasmi sasa hakuna Kugoma goma tena... karibu tuliendeleze gurudumu letu tena
weka comment k**a unahitaji niendelee kupost love sms
Nimerudi rasmi Sasa karibu kwa wanao hitaji love sms au nyimbo
Mambo vipi wadau
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Manyara
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when MACHA JR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.