TSCA
Education and services
Kaka naomba Whatsapp number yako
22/08/2021
Je umewahi kufikilia kuhusu kilimo cha mjini?
21/08/2021
Nini kifanyike ili kuwavutia vijana wa kitanzania kwenye kilimo.
08/08/2021
Kuna aina nyingi sana za ndizi, na kilimo chake kinatofautiana kutoka na sehemu moja hadi nyingine, mfano mzuri kilimo cha ndizi mkoani kagera na kilimo hicho mkoani Kilimanjaro, tuambie ni aina ipi ya ndizi unayoifahamu , na toka mkoa gani?
08/08/2021
mwaka huu tutasherehekea sikukuu ya wakulima 8/8 na embe lenye kilo 2
24/01/2021
Kilimo ni kilakitu kwetu, hata k**a unaishi maeneo ya mjini ambapo hakuna mashamba ya kulima, unaweza tumia njia hii, ni rahisi sana na haina gharama kubwa
15/01/2021
Kufanikiwa zaidi katika kilimo inategemea Sana ujuzi, mipango na mbinu unazotumia kwenye kilimo chako... Jambo la neema ni kwamba kilimo kinakubali katika mazingira yoyote. Nijuku la mkulima kutambua aina ya mazao yanayo kubali katika eneo alilopo, aina na tabia ya udongo, misimu ya mvua, nk pia kuwashilikisha wataalam wa kilimo ili kupata msaada, ujuzi na ushauri.
12/01/2021
Viazi Lishe vinamanufaa makubwa sana kwa mwili wa mwanadamu machache kati ya hayo ni-
* Chanzo cha madini ya chuma (potassium na kalssium)
*Chanzo vitamini A, B, C na D.
*Huboresha afya ya mtoto aliye tumboni kwa Mama.
01/01/2021
Kheri ya Mwaka mpya, ukawe mwaka wa Mafanikio, Furaha na Amani.
29/12/2020
FAHAMU ZAIDI KUHUSU MAHARAGE LISHE
Maharage lishe ni mbegu bora inauwezo wa kumea katika mazingira yeyote k**a ukizingatia sehemu husika k**a kuna maji sehemu ya uwazi na udongo
Kilimo cha maharage inategemeana na sehemu kuna mbegu nyingine ukipanda mavuno yake ni hafifu na muda mwingine usipate
Hii ni kulingana na aina ya udongo
Pia udongo ni mojawapo ya kitu cha kuzingatia kabla ya kupanda maharage
Leo nataka tuangazie kuhusu maharage lishe
Ni aina ya mbegu ya maharage ambayo ina mavuno mengi na inastawahi katika mazingira yenye wastani ya mvua na jotoridi ya kawaida.
Haishambuliwi na magonjwa na wadudu kwa haraka.
Faida yake ni yapi.
Kwa wamama wajawazito inawazaidia kupata madini ya chuma na zink pindi mama anabeba mimba anashauriwa kutumia maharage lishe kwa ajili ya madini ya chuma.
Maharage lishe pia ni protini
Inaongeza mbolea shambani sehemu k**a shamba lina kiwango kidogo cha mbolea ukipanda maharage inaongeza kiwango cha
mbolea shambani.
Maharage lishe soko ni la uhakika kila siku uhitaji wa maharage inahitajika.
Ukizingatia kilimo cha kisasa katika heka moja utapata mavuno mengi ukilinganisha na upandaji wa kiholela
Tafiti zinaonyesha kuwa zao la maharage katika Tanzania walio wengi wanaolima ni wanawake kulingana wengi tunalima kwa ajili ya chakula.
Tukiekeza kwenye kilimo cha kisasa cha maharage tutaweza kuuza katika soko la ndani na nje kiwango kikubwa kinahitajika kwa ajili ya lishe.
Mdau wa kilimo hii ni fursa yako unaweza kuanza kidogo nusu heka
Heka moja ama tano au kumi
Usipate shaka ya soko ipo.
Karibu kwa maoni.
28/12/2020
unaifahamu BROKOLI??, hii ni mboga na wachache sana wamewahi itumia , , , twende pamoja sasaπππππππππ
wataalamu wanasema kwamba ni moja ya mboga rahisi mno kupanda, hustawi vizuri maeneo yasiyopokea kiwango cha mvua ya kuikidhi, mfumo wa kunyunyizia mimea maji kwa mifereji utafanikisha kilimo chake, kwakua Brokoli zinahitaji maji mfululizo ili kuzinawirisha na kupata mazao bora,
upandaji wakeππ
Brokoli hupandwa mbegu moja kwa moja au kupitia miche. Aidha, miche inachukua karibu muda wa wiki sita kitaluni. Matunzo yake yanawiana na ya kabichi au mboga zingine zinazopandwa kupitia miche.Watalaamu wa masuala ya kilimo wanashauri kuweka madini mengi ya Nitrogen na Potassium. Mkulima anahimizwa kabla ya kupanda, aweke mashimo mbolea hai kwani imesheheni Nitrogen, Phosphorous na Potassium. Inapaswa kuwa iliyoiva sawasawa,(decomposed).
Palizi ni shughuli muhimu katika kilimo cha brokoli. k**a ilivyo kwa kabichi, brokoli pia hushambuliwa na wadudu k**a viwavi
zao hili huanza kuvunwa kati ya siku 45 β 60, baada ya kupandwa.
FAIDAπππ
β Brokoli ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi (fibre) ambazo ni muhimu katika kusaidia mmeng'enyo wa chakula mwilini.
β hupunguza kiwango cha mafuta ya cholesterol.
β Virutubisho vingine ni Vitamini C, Protini, Potassium na Calcium; madini yanayosaidia kuimarisha mifupa.
β pia, Wenye shida ya ugonjwa wa Kisukari, wanahimizwa kula brokoli kwa wingi kwani huudhibiti.
Naamini tutakua tumejifunza machache na ya msingi juu ya huu mmea au mboga BROKOLI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when TSCA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.