DPS Cosmetics
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DPS Cosmetics, Health/Beauty, masika, Morogoro.
mwangaza wa urembo, nguvu ya asili🌹 call /whatsap 0622 227 180
Link ya group letu Whatsapp
https://chat.whatsapp.com/JDk8RIaBRF8KFDWkiDNxQO?mode=ems_copy_t
📍MOROGORO MJINI, MASIKA.
05/10/2026
Umejipulizia perfume kali 🔥 lakini deodorant huna? 😅
Mkuu, perfume yako inaweza kuwa nzuri sana, ila jasho likianza mambo yanabadilika 😂.
✅ deodorant tunazo za aina tofauti tofauti.
0622227180
masika morogoro.
03/10/2026
gluta berry scrub shower gels.
Just in: harufu nzuri na inatakatisha ngozi kwa kuondoa seli za ngozi zilizokufa.
dont miss out this.
0622227180
masika morogoro
03/10/2026
LAVENDER GLOW 💜
Lotion ya mwili yenye unyevunyevu na harufu nzuri ya lavender, kwa ngozi laini, mng'ao mzuri, smooth na yenye mwonekano wa glow. 🥰
0622227180
masika morogoro
.
03/10/2026
ROUSHUN Eggs Shampoo imeundwa kwa ajili ya kusafisha nywele huku ikisaidia kuziacha zikiwa laini, manageable na zenye mwonekano mzuri.
🥚 Husaidia kulainisha nywele
💛 Husaidia kuzipa nywele mwonekano wenye afya
✨ Husaidia nywele kuwa rahisi kuchana na kutunza
🌿 Inafaa kwa normal hair
🧴 500ml kwa matumizi ya muda mrefu
0622227180
masika morogoro
03/10/2026
RESTOCKED
DR. DAVEY LOTION – SKIN GLOW & MOISTURE!.
Ngozi laini, yenye unyevu na mwonekano wa fresh kila siku. Chagua variant inayokufaa kwa skincare routine yako na ipa ngozi yako care inayostahili.
0622227180
masika morogoro
02/10/2026
gago magic lotion zimebaki chache sana.
mafikiri mnajua maajabu ya hii lotion..
tupigie sasa kuweka oda yako kabla haijaisha
0622227180
maika
02/10/2026
TURMERIC GLOW IMEFIKA! 🌟
PRO WHITE Turmeric Oil — kwa ngozi inayohitaji unyevunyevu, lishe na mwonekano wa asili wenye kung’aa.
🌹Husaidia kupunguza mwonekano wa mabaka meusi
🌹Husaidia kusawazisha mwonekano wa rangi ya ngozi
🌹 Hutoa unyevunyevu wa kina
🌹 Imetengenezwa na Turmeric + Sandalwood extracts
✔️ Huacha ngozi ikiwa na mwonekano wa kung’aa na kuvutia
Masika, Morogoro
📞 0622 227 180
02/10/2026
F&W Gold Ultimate Oil 💛NO. 3 hii ni moja kati ya oil nzuri na bora zinazofanya vizuri sana
Inasaidia ngozi kwa:
🌹Kulainisha na kuongeza unyevu kwenye ngozi kavu.
🌹 Kuacha ngozi ikiwa soft, smooth na yenye glow.
🌹 Kusaidia kuifanya ngozi ionekane healthy na nourished.
🌹 Husaidia kupunguza muonekano wa ukavu na roughness.
🌹Imeundwa pia kwa ajili ya skin nourishment na care ya stretch marks, k**a inavyoelezwa kwenye packaging.
whatsap||call 0622227180
masika morogoro
01/10/2026
Ezanic Gel 20% – Azelaic Acid 20% w/w (15g)
kwa chunusi sugu na mabaka meusi na rangi ya ngozi isiyo sawa, hii Gel ni nzuri na inafanya kazi haraka!.
0622227180
masika morogoro
01/10/2026
Itunze ngozi yako kwa usafi na harufu nzuri! 🛁✨
St. Ives Body Wash sasa ipo! 🧴 Imetengenezwa kwa extracts 100% za asili na inapatikana katika aina 9 zenye harufu tofauti:
🌊 Sea Salt & Pacific Kelp
🌾 Oatmeal & Shea Butter
🍑 Fresh Peach & Jasmine
🍋 Citrus & Cherry Blossom
🌼 Vanilla & Oat Milk
🌿 Tea Tree & Lemongrass
🍊 Pink Lemon & Mandarin Orange
🥥 Coconut Water & Orchid
🌹 Rose Water & Aloe Vera
Chagua harufu yako unayoipenda! 😍
🛍️
0622227180
masika morogoro
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Morogoro
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when DPS Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.