Faraja Seminary
Academic Excellence
Spiritual Awareness
Self Discipline
Mkuu wa shule ya Faraja Seminary iliyopo Moshi Kilimanjaro anawatangazia nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2027 na nafasi chache za kuhamia kwa vidato vingine.
Shule ya Faraja Seminary inayomilikiwa na kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) chini ya idara ya Wanawake Watumishi wa Kristo(WWK).
Shule inapokea wanafunzi wa jinsia zote na dini zote. Shule ina ufaulu mzuri na inatoa malezi bora ya kiroho na ya Kitanzania.
Shule ni ya Bweni kwa wavulana na wasichana.
Mitihani ya usaili inaendelea katika vituo mbalimbali.
Karibuni sana.
Kwa mawasiliano tupigie kwa namba zifuatazo.
0756939477
0620119702
0628065768
0768951372
0765125756
#
Karibuni sanaaa. Nafasi ni chache
Karibuni nafasi ni chache sanaa
❤️
04/12/2025
WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (WWK)
03/12/2025
Praise and Worship Team
Faraja Ladies
21/11/2025
TIME
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Address
Moshi
POBOX.3064
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Faraja Seminary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.