Mbezi Cement Distributor
Quality Cement | Best Prices | Fast Delivery
�NSSF house—Moshi, Kilimanjaro.
� Order 0685 793 521
09/09/2026
Cement bora, delivered kwa wakati.
Usicheleweshe ujenzi wako kwa kusubiri cement. Agiza nasi na upate cement bora kwa huduma ya uhakika, popote ulipo Tanzania.
Agiza leo
WhatsApp/Call: +255 685 793 521
07/09/2026
Wiki mpya, ujenzi wako usisimame.
Cement ipo tayari kwa mahitaji yako ya ujenzi, kwa ubora unaoaminika na huduma inayokufikia kwa wakati.
Wasiliana nasi leo uagize cement yako.
WhatsApp/Call: +255 685 793 521
04/09/2026
Jumaa Kareem 🤲 Tunawatakia Ijumaa yenye baraka, amani na mafanikio.
02/09/2026
Tofali bora linaanzia kwenye cement sahihi.
Usalama na uimara wa ujenzi wako huanza na uchaguzi wa cement bora. Kwa matofali yenye ubora, uimara na uwezo wa kustahimili ujenzi, chagua cement sahihi.
Kwa ujenzi binafsi, miradi midogo na mikubwa — tunakuletea cement bora kwa wakati.
WhatsApp | Call | SMS: +255 685 793 521
[email protected]
Agiza nasi leo, jenga kwa uhakika.
28/08/2026
Jummah Kareem. Mwenyezi Mungu akujalie kheri na wepesi katika kila jambo.
26/08/2026
FURSA YA AJIRA | MBEZI CEMENT DISTRIBUTOR
Mbezi Cement Distributor inatafuta Accountant mwenye sifa na uzoefu unaohitajika kujiunga na timu yetu.
Nafasi: Accountant
Eneo la Kazi: Moshi, Kilimanjaro
Sifa: Bachelor/Master’s in Accounting/Finance, CPA na uzoefu wa miaka 5.
Tuma CV yako na portfolio kupitia WhatsApp +255 699 793 521 au barua pepe [email protected].
Mwisho wa kutuma maombi: 3 Septemba 2026.
25/08/2026
Tunawatakia Waislamu wote Maulid An-Nabawi yenye baraka, amani na upendo.
kutoka Mbezi Cement Distributor✍🏽
24/08/2026
Ujenzi wako haupaswi kusubiri cement.
Mbezi Cement Distributor tunakufikishia cement kwa wakati, kwa mahitaji ya miradi midogo na mikubwa pamoja na mahitaji ya biashara yako.
Agiza leo, pata cement kwa urahisi na endelea na kazi bila kusubiri.
WhatsApp | Call : +255 685 793 521
📍 Moshi, Kilimanjaro
21/08/2026
Jumma kareem kwenu nyote kutoka kwetu Mbezi Cement distributor.
19/08/2026
Hatuuzi cement pekee. Tunajenga uaminifu.
Kutoka kwenye tofali unalofyatua hadi kwenye jengo unalolijenga, tunakuuzia cement yenye ubora na huduma ya kuaminika. Tunahakikisha mahitaji yako ya cement yanafikiwa kwa wakati, kwa huduma inayolenga ubora na uaminifu.
Kwa wafyatua matofali, mafundi, wakandarasi na wauzaji wa cement, Mbezi Cement Distributor ni mshirika wako katika ujenzi.
Wasiliana nasi kwa oda na mahitaji yako ya cement.
+255 685 793 521
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Moshi