Sema Usikike
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sema Usikike, Education, Kiyangu, Mtwara.
15/10/2016
Nyerere day cleanness at SAUT mtwara
30/09/2016
Kazi ya kikundi ni kupambana na uharibifu wa Mazingira ili kuyaweka yawe rafiki kwa viumbe hai, hapo ni wanachama wakiwa wamemaliza kufanya sherehe iloyoambatana na upandaji miti.
26/05/2016
01/02/2016
Niaje watu wangu wa nguvu basi tulejee katika
kipindi chetu cha utunzaji was Mazingira Jana
tumeona faida na athari za uharibifu was
matumbawe basi Leo tutazame sura nyingin ya
mada inayoitwa mikoko ali maarufu k**a
mangrove, je waijua miti hii ? basi kwa maelezo
kidogo mikoko ni miti migumu ambayo huota
sehemu zenye hali ya uchumvichumvi miti
hiihupatikana sehemu za baharini ambazo
zinakuwa na hàli ya chumvi, si hivyo tu si kwamba
kila mahali inaota bali hutegemea ukanda miti hii
huota hasa upande wa tropical, kazi take husaidia
kupunguza mawimbi ya nagari ambayo hupelekea
mmomonyoko wa fukwe pia huçhochea upataji wa
mvua, hiyo ndo mikoko tuitunze kuepukana na
athari ,baßi aka chonjo kwa pindi tamu la
Mazingira # myplannthiinker2016 #
7 hrs · Privacy: Public
18/01/2016
Environmental conservation is for all people and not selective as others know, let unite to build our Environment club
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mtwara