YOUNG ROSES PRE AND PRIMARY SCHOOL
=ENGLISH MEDIUM SCHOOL
=AWALI (3 YRS OLD) - LA SABA
=LOCATION-NYUMA YA KITUO CHA POLISI USA-RIVER
10/01/2026
Matokeo ya darasa la nne 2025.
Hii ndo maana halisi ya # Lipa_kidogo_pata_zaidi
Nafasi bado zipo. Mlete mwanao afurahie elimu
01/01/2026
Uandikishaji wa wanafunzi wa awali na darasa la kwanza bado unaendelea shuleni kwa siku za kazi saa mbili asubuhi mpaka saa saba mchana, pia tunapokea wanafunzi wanaohamia kwa madarasa yote na uhamisho tunashughulikia sisi wenyewe,
Karibu Young Roses, Lipa Kidogo, Pata Zaidi
11/12/2025
Karibu sana Young Roses
28/11/2025
Karibu Young Roses Shule ya English Medium yenye elimu bora kwa ada nafuu.
Tunasema
Tupo usa river nyuma ya kituo cha polisi
24/11/2025
Nafasi za kazi Young Roses
05/11/2025
matokeo ya darasa la 7 mwaka huu.
hii ndo maana halisi ya lipa kidogo, patazaidi
31/08/2025
Mahafali ya 13 yalifanyika tar 29/8/2025. Tuliwaaga vijana 33 watakaohitimu elimu yao ya msingi mapema mwezi wa 9.
Karibu Young roses, shule ipo usa river nyuma ya kituo cha polisi.
=Lipa_kidogo_pata_zaidi
26/07/2025
Young roses. Lipa kidogo, pata zaidi
21/11/2024
WAHI SASA KUPATA UFADHILI HUU
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Usa River