MPEKUZI.com

MPEKUZI.com

Share

Huu ni ukurasa rasmi wa kukuhabarisha habari za kimichezo na burudani. YouTube tunapatikana BM NEWS TZ
Instagram tunapatikana BM NEWS TZ

01/06/2026

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara watoa mabadiliko ya ratiba mchezo wa 212 Mbeya City dhidi ya Simba Sc hautachezwa tena saa 10 jioni bali mchezo huo utachezwa saa 8 Mchana June 17 mwaka huu huko Mbeya Sokoine Stadium

19/05/2026

AFCON 2027 | KUNDI L
1.NIGERIA
2.MADAGASCAR
3.TANZANIA
4.GUINEA BISSAU

18/05/2026
09/05/2026

Tuzo za Baraza la Michezo Tanzania BMT leo imeitangaza klabu ya ndio klabu bora ya mwaka kwa upande wa wanaume

07/05/2026

Vita ni vita mura ndani ya klabu ya Real Madrid panawaka moto ngumi nje nje

Photos from MPEKUZI.com's post 07/05/2026

Klabu ya rasmi wametangaza kuanzia sasa kuutumia uwanja wa KMC STADIUM kwa mechi zao zilizo salia ligi kuu na kombe la CRDB BANK FEDERATION

06/05/2026

Kocha wa amefutwa kazi kwa makubaliano ya pande zote mbili michezo 19 ameshinda michezo 14 na kutoa sare michezo 5 na hajapoteza ila viongozi wa wameona kocha pedro haendani na falsafa ya wachezaji walioko ndani ya kikosi kwa hivi sasa
Swali je nani atakuja kuchukua nafasi ya kocha pedro baada ya msimu huu kuisha ngoja tuone

04/05/2026

Baada ya kutokea taharuki jana kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya kupitia kwa Meneja wa klabu ya Yanga Walter Harson ameomba radhi kwa mchezaji wa Simba Clatous Chota Chama baada ya kukunjana wawili hao wameombana radhi kwa makosa walio tendeana hapo jana

03/05/2026

Una mpa nani ushindi leo kwa vikosi hivi au

02/05/2026

Bodi ligi kuu Tanzania bara imewatangaza waamuzi watakao chezesha mchezo wa kesho Simba dhidi ya Yanga kuanzia mwamuzi wa kati hadi fourth official hakuna mtanzania

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Zanzibar?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Zanzibar

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MPEKUZI.com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Zanzibar.