SHOUT OF VICTORY TEAM - SVT
This is official page of Shout of Victory Team
Our services:Thanksgiving,Praise and Worship
20/07/2026
wa kifalme.
19/07/2026
Tumemaliza mkutano salama !! ๐ง๐ฎ
Mungu apewe sifa!! hata hapo ulipo tutafika kwa uwezo wa nguvu za Mungu.
18/07/2026
Shalom! ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ
Tupo nyanza "ENEO LA DHEHEBU LA MBELE YA BARABARA YA KWANZA NYANZA ni Jengo la msalaba mrefu"
tupo kwenye mkutano mkubwa ambao pia umebeba mafundisho, tupo hapo kwaajili ya kuongoza praise and worship.
kesho kuanzia saa tatu asubuhi (9h) tunakukaribisha kuungana nasi kwa kumsifu Mungu na mafundisho pia ya neno.
karibuni sana!!
SHOUT OF VICTORY TEAM - SVT
04/07/2026
Umurongozi wacu " " akaba yash*tse kugarukirako umugwi waraye ubuze umuvuzi w'ingoma no kwifadikanya nabo kuja kumaziko.
Turabandanya kwipfuriza uburuhuko bwiza uwaraye atuvuyemwo. ๐ญ
04/07/2026
Turahojeje umugwi wa Fire of God n'umuryango wose ndetse nabenegihugu kubwurupfu rwash*tse rw'umucuraranzi w'umuvuzi w'ingoma.
Nuko Imana ibandanye kuremesha imitima yacu twese.
Tumwipfurije kuruhuka amahoro!!
Turabaramutsa mwese aho muherereye!!
Twongera tubasaba ko mwokora Subscribe, like and share utibagiye na comment kuri channel ya YouTube https://youtube.com/?si=jGMYqPlARx4JaW6N no kuri page yacu kora Kugirango muze murashirwa kuvyiza muba mwateguriwe.
Murakoze !!!
30/06/2026
KIKAO CHA TEAM NZIMA YA SHOUT OF VICTORY. ๐ง๐ฎ
Kikao hiki kilisimamiwa na HAKIZIMANA CEDRICK agenda kubwa ilikuwa ni kuangalia ni namna gani ya kuweza kuboresha kazi tuliopewa na Mungu ya kuongoza watu katika sifa na maabudu.
Alikumbusha team nzima kuwa huwezi kuwa kiongozi mzuri wa sifa na maabudu k**a maisha yako hayana sifa njema. pia akasema kuwa sifa na maabudu ya kweli ni maisha tunayotakiwa kuyaishi kila siku.
Kikao hicho kilikuwa cha maana sana katika TEAM nzima.
Watu wa Nyanza mkae mkao wakula hivi karibuni tunakuwa pamoja k**a Mungu atakuwa ametupatia kibali cha kufika hapo.
Tunawatakia Jumapili njema popote mlipo.
SHOUT OF VICTORY TEAM - SVT
Murahawe ikaze kuntererano n'ivyiyumviro vyanyu.
Category
Contact the public figure
Website
Address
Mabanda
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when SHOUT OF VICTORY TEAM - SVT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.