BPM

BPM

Partager

Habari

14/03/2023

Rest in PEACE legend tuta kukumbuka daima kwaizo dansi Zako zaajabu 🙏🏿😭😭

Profile pictures 17/01/2023
21/06/2022

Jamani Takwimu zinasema Harmonize ndie msani pekee Kutokea nchini Tanzania aliejaza uwanja wa mpira huko nchini Kongo DRC..... 🙌

Toka muziki wa Tanzania kupenya nchini Kongo wasani mbalimbali Kutokea Tanzania walikua wakifeli kwenye show zao...mpaka anaejifanya Nabii wa Tanzania alifeli lakini Harmonize AKA Jeshi amevunja rikodi iyo kujaza uwanja na kupiga show ya kibabeđŸ™ŒđŸ˜đŸ‡šđŸ‡©

📌Nishawahi kusema Tanzania Tukimkosa Harmonize kwenye muziki nchi yetu itakua imepoteza kiungo muhimu sana Tembo piga kazi Tupo nyuma yako achana na hao walamba midomo na kutembea na mama zaođŸ˜Č

Catégorie

Adresse


Uvira
Bukavu
28

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque BPM publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

S’abonner

Nous vous informerons de toute nouveauté à Bukavu.