BUSIA Border RADIO
The Best Radio station in Busia County with best mix of music and presenters. Embraced with well packaged and comprehensive News bulletins.
Listen on website> https://www.magharibi.digital/radio
Online Link> https://zeno.fm/radio/busia-border-radio/
14/08/2026
Border Vibes naye Dj-bestkid Jay na Olger Juma 🔥 Unasikiliza ukiwa wapi?
14/08/2026
Jikwamue leo ndani ya Vuna Dabo Draw!
Tajirika hii Ijumaa na KSh 1,000,000 + 500,000 ya biashara na pia stand a chance to WIN Laundry Mart Machines ufungue Dry Cleaning Yako!
Kuna 24 people daily wanabeba KSh 100K Shopping Voucher kila saa!
Jiamini na Ksh 50-2000
Paybill: 777000
Account: SASA
13/08/2026
Throwback Thursday hosted by Dj-bestkid Jay na Olger Juma 🔥 1pm-4pm 👌
Wakilisha area code📻 📻 📻
13/08/2026
Kumekucha from this side .. ile baridi hukua hizi maeneo nyakati za asubuhi asubuhi na late evening , hehee hapana tambua ..
Otherwise ukiwa huku, get us loud and clear on 89.9fm .. sauti ziko clear, Kapsokwony
updates
Like || Comment || Follow
12/08/2026
Galdems Edition is live🔥 Karibu ndani ya BUSIA Border RADIO Border Vibes naye Dj-bestkid Jay na Olger Juma ni Mwecheche🔥 🔥 🔥 🔥
12/08/2026
Bunge la Kaunti ya Busia sasa limeingia katika mfumo wa kidijitali, hatua inayolenga kurahisisha na kuharakisha shughuli za kutunga sheria.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye bunge hilo na ambaye pia ni mwakilishi wadi wa Chakol Kusini, Denzil Musumba, amesema kamati hiyo ilitenga shilingi milioni 31 nukta 5 kwenye mwaka kifedha wa 2023/2024, kwa ajili ya ununuzi wa vifaa 14 pamoja na kamera za kuimarisha shughuli za Bunge kwa njia ya kidijitali.
Amehoji kuwa mfumo huo utawawezesha Wawakilishi wa wadi kupata mijadala za Bunge kwa njia ya kielektroniki, pamoja na kushiriki vikao kwa njia ya mtandao wanapokuwa mbali na ukumbi wa Bunge.
Ameongeza kuwa mfumo huo utapunguza gharama za uchapishaji, kurahisisha uhifadhi wa nyaraka na kuimarisha uwazi katika shughuli za Bunge.
Hatua hiyo pia inatarajiwa kuwapa wananchi nafasi zaidi ya kufuatilia shughuli na mijadala ya Bunge la Kaunti ya Busia.
Updates
Like || Comment || Follow
12/08/2026
Mwenyekiti wa kitaifa chama cha bodaboda kevin mbadhi na mwenzake wa county ya Bonface Okumu na Meneja wa Uhusiano wa Umma wa kampuni ya kupeana pikpik ya mkopo ya MOGO Rabbeca Ngige wanaongoza mkutano wa mafunzo ya jinsi utumizi bora wa pesa na bodaboda mjini Busia
12/08/2026
Safaricom Chapa Dimba Season 5 inabisha eneo la magharibi finali za kikanda zitagaragazwa katika uwanja wa kandui
Masinde muliro county ya Bungoma jumamosi na jumapili tarehe 15 na 16 mwezi huu .Pata more na safaricom.ndani Busia Border Breakfast
12/08/2026
Kumekucha hapa Turkana. tunaskika loud and clear kwa https://www.magharibi.digital/radio
Online Link> .
uliko kumeanza kunyesha ama bado kuna joto jingi??.
updates
massive
Like || Comment || Follow
11/08/2026
KSH 60 TU, UNAVUNA DABO NA LOTTO!
Leo unalima kwa jembe, kesho unaweza kuwa unawasha Mini Tractor yako mwenyewe! 😎
Shinda KSh 1,200,000 + KSh 600K Business Boost + nafasi ya kushinda Mini Tractor au Holiday shopping worth 100K to 24People!
Usingoje mavuno ya kesho, anza kuvuna leo!
Cheza na KSh 60-2000 | Paybill 777000 | Account: SASA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Busia