Merucartracks

Merucartracks

Share

Car track,alarm,music system installation and general car wiring in meru

01/07/2026

Naomba neema ya Mungu initangulie katika kila hatua ya maisha yangu. Kila mlango uliokuwa umefungwa na ufunguliwe, kila kikwazo kiondolewe, na kila mpango mwema wa Mungu utimie juu yangu

Leo, ninatamka kwa imani:
Nitakutana na kibali badala ya vikwazo, ushindi badala ya kushindwa, na furaha badala ya huzuni. Mungu nibariki kwa afya njema, amani, hekima, na mafanikio katika kila jambo ninalolifanya.

Hakuna silaha itakayofanikiwa dhidi yangu maana damu ya Yesu ni ulinzi wangu na ushindi wangu AMEN AMEN πŸ™

28/02/2026
28/02/2026

Bado meru tuko kazi we istalll cartrack alarm radio CCTV system and etc call πŸ“ž now my friend

14/02/2026

Happy valentine day to everyone πŸ’– πŸ’“

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Meru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Meru
Meru