GOSPO FM RADIO 99.1
Gospo 99.1Fm radio is your station of choice. We broadcast in Swahili 24/7 with Christian centered programs, life transforming topics, news and entertainment.
We are basd at JGPM Nyawira road, Narok town.
03/09/2026
Vipi mpendwa umefika kazin? hewani kwa sasa ni
Kaka Ben
CALL. 0712662222.
SMS 0715 186220
03/09/2026
Waefeso 3:20
Mungu anaweza kufanya zaidi ya yote tuyaombayo au tuyawazayo. Karibu ndani ya kwa hisani ya Danmegawholesalers nami MR Kenyan ⏰ 6am-10am ikiwa ni .
Tegea live Link 👇
https://radiogopo.out.airtime.pro/radiogopo_a
Follow us on:
X>> https://x.com/FmGospo53887
IG>>https://www.instagram.com/gospofmradioigsh...
WhatsApp>>https://chat.whatsapp.com/GeFJAbCZJ2CEH1Dxe47wz8?mode=gi_t
02/09/2026
Tupo site! ishangoa nanga jongea tukupakulie uhondo kamili naye
07 12 66 22 22
07 15 18 62 20
02/09/2026
Malkia strikers watua kwenye nusu fainali za kombe la AFCON baada ya kuilemea Algeria. .
02/09/2026
Karibu Sana Ndani Ya .
Kaa Mkao Wa kula, Alfu Fanya K**a Unatulia Tuburudike Pamoja.
Ungana nami Alex sang'iriaki All Time Faithful
Washa radio📻, ongeza volume!🔉🔊
☎️Call line - 0712 662 222
📩SMS line - 0715 186 220
Tegea live: https://radiogopo.out.airtime.pro/radiogopo_a
Follow us on:
X> https://x.com/FmGospo53887
IG>https://www.instagram.com/gospofmradioigsh...
WhatsApp>https://chat.whatsapp.com/GeFJAbCZJ2CEH1Dxe47wz8?mode=gi_t
02/09/2026
"Iwapo nitakuwa rais wa taifa hili,hauwezi sikiza kitu kinaitwa magenge ya wahuni" - Fred Matiang'i, Naibu kiongozi wa chama Cha Jubilee. .
02/09/2026
Mctominay kukosa mechi kadhaa kwa tatizo la moyo.
K**A FAMILIA YA MKEO/MMEO HAIKUHESHIMU, SHIDA INAEZA KUWA NINI?
02/09/2026
Sali sana kuna watu kuanguka kwako ni moja ya maombi yao.
W.C.W
Kaka Ben
CALL.0712662222.
SMS. 0715 186220
01/09/2026
Wasiwasi wa Seli Mundu.
Waziri wa Afya Aden Duale ametoa tahadhari kuhusu ongezeko la mzigo wa ugonjwa wa seli mundu (sickle cell disease) nchini Kenya, akibainisha kuwa takriban Wakenya 250,000 wanaishi na hali hiyo, huku watoto wapatao 14,000 walioathirika wakizaliwa kila mwaka. Akizungumza siku ya Jumanne, Septemba 1, 2026, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Seli Mundu la siku tatu jijini Nairobi, Duale alisema ugonjwa huo—ambao hapo awali ulihusishwa zaidi na maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria, Magharibi mwa Kenya na Pwani—sasa umekuwa suala la kitaifa la kiafya linalohitaji hatua za haraka na zilizoratibiwa. .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
JGPM Church-Narok-Kenya (Off Narok-Bomet Highway: Majengo Nyawera Road )
Narok
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 12:00 |