Simu Sokoni
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simu Sokoni, Mobile Phone Shop, Dar es salaam, Oysterbay, Arusha.
Pata simu mpya na zilizotumika zenye ubora, pamoja na accessories mbalimbali kama vile cover, screen protector, charger, power bank, earphones, smart watch, speaker, na bidhaa nyingine za simu.
#tembelea https://simusokoni.com #+255 625 187 455
09/08/2026
20/07/2026
KIBOKO YA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YAKO YUPO HAPA!
Anatatua matatizo yafuatayo:
1. Unapata wateja wachache?
2. Wateja hawarudi kwenye biashara yako / kununua?
3. Unashindwa kuwafuatilia / kuwarudisha wateja wako wa zamani?
4. Unashindwa kuwafikishia wateja taarifa muhimu, ofa au bidhaa mpya kwa wakati?
5. unashindwa kutangaza bidhaa mpya au unatangaza kwa shida
6. Unashindwa kutunza mawasiliano ya wateja wako sehemu moja
7 Unakosa ripoti sahihi za mauzo / stock / usimamizi na maendeleo ya biashara yako?
Business Suite Max ndiyo suluhisho lako pekee hii ni App, ni rahisi kutumia na inatatua changamoto zote zilizotajwa hapo juu, haihitaji ujuzi wa Kiingereza, ni nzuri kwa biashara zote dukani au hata unayefanyia biashara nyumbani.
Business Suite Max inapatikana kwa bei poa ya kitanzania / faida lukuki hakuna hofu tena zama za digitali kwanini uteseke?
π Wasiliana nasi leo
**Digital Finix Team**
π± Call / WhatsApp: +255 625 187 455
π Website: https://www.digitalfinix.co.tz
09/04/2026
JINSI YA KUPATA PESA x100 MTANDAONI
Watu hawakai sehemu moja tena β wako kwenye simu zao kila muda. Kutoka mikoa tofauti ya Tanzania, wateja wanatafuta huduma na bidhaa mtandaoni.
π Ukiwa na social media page pamoja na website biashara yako inafika ila mahali:
Biashara yako inaonekana muda wote (saa 24/7)
Unawafikia wateja kutoka Dar es Salaam, Arusha, Mwanza hadi vijijini
Unajenga uaminifu (trust) kwa wateja wapya
Unarahisisha mauzo na mawasiliano
Mwisho unapata pesa zaidi ukilinganisha na kufanya biashara eneo moja nje ya mtandao.
ukitaka kujua mtandao unatengeneza vipi pesa angalia amazon.com au alibaba.com
Angalia Live demo https://digitalfinix.co.tz/space/estore/
Unahitaji ushauri / unahitaji website / app kwa bei nafuu
Piga / whatsapp +255 625187455
website : https://digitalfinix.co.tz
09/04/2026
Kwa Nini Website ni Muhimu kwa Biashara Yako?
π Wateja wanakuona kwenye Google unaongeza soko
π Unaweza kuuza bidhaa zako online masaa 24
π¬ Unarahisisha mawasiliano (WhatsApp, forms, n.k.)
π Unapata wateja wengi kutoka sehemu mbalimbali mfano alibaba.com au amazon.com inapata wateja kutoka kila sehemu duniani na wewe pia unaweza kupata wateja kutoka mikoa mbalimbali Tanzania na nchi jirani
Kwenye biashara website ni kiungo kinachowaunganisha wateja na biashara yako, biashara yako inakuwa online usiku na mchana
website imegawanyika pande mbili upande wa mbele upande wa wateja ambapo wanaona bidhaa au huduma upande wa nyuma ni wa wewe mwenye biashara na ndio unautumia kupost au kuweka picha, bei na maelezo ya bidhaa au huduma na unaiendesha kwa kutumia app ya simu
Angalia Live demo https://digitalfinix.co.tz/space/estore/
Kwa maulizo / inquiry
piga / whatsapp +255 625 187 455
website: https://digitalfinix.co.tz
27/01/2026
PATA WEBSITE YA BIASHARA KWA BEI NAFUU - DIGITALFINIX!
Biashara bila website ni k**a duka lisilo na bango!
Weka biashara yako ONLINE leo.
Hizi hapa ni faida za kuwa na website:
1. Biashara yako iko ONLINE masaa 24/7
2. Wateja wanakupata Google
3. Unaonekana kampuni halisi & professional
4. Unapokea oda hata ukiwa offline
5. Unaongeza uaminifu (TRUST)
6. Unaongeza mauzo bila kuongeza gharama kubwa
Website = Mfanyakazi Wako
Website:
Inauza kwa niaba yako
Inajibu maswali ya wateja
Inapokea oda
Inajenga brand yako
Inakuongezea thamani ya biashara
Tembelea duka letu https://digitalfinix.store
Chagua aina ya website unayotaka lipa advance payment, subiri iwekwe online kwa jina la biashara yako eg www.magarimakali.com , kisha kamilisha malipo yaliyobaki na kisha endelea na biashara
Huku ukipata support na msaada 24 / 7 , pia unakuwa huru kuuliza/ kusaidiwa mpaka utakapo master
Kwa majibu zaidi tembelea https://digitalfinix.store/faq.php
Kwa mawasiliano na manunuzi:
π© DM / WhatsApp: +255 625187455
πTembelea dukani https://digitalfinix.store
Website sio gharama, ni uwekezaji wa kidijitali
26/01/2026
UNATAKA WEBSITE YA BIASHARA YAKO LEO?
Kumbuka:
Biashara yenye website inawafikia wateja wa karibu na wa mbali kirahisi usiku na mchana!
DigitalFinix tunauza website za kisasa za kufanyia biashara (online store / Business websites) , tembelea duka letu la mtandao ujichagulie website ya kufanyia biashara online sasa kwa gharama nafuu.
Website zetu zina yafuatayo:
β
Mobile App ya mteja
β
Mobile App ya kuiendeshea website
β
Admin Account
β
Inapatikana Google
β
Inawezesha kushare kitu kwenye social media zote
β
Bei nafuu β quality ya juu
β
Business email ya info@
β
Free support & mafunzo bure mwaka mzima
π₯OFFER!!!
Tembelea duka letu la mtandao ,nunua website yako uanze kuuza online leo ( baada ya kulipa advance payment , website yako itawekwa online kwa jina lako la biashara yako mfano www.digitalfinix.store )
Kwa majibu zaidi tembelea https://digitalfinix.store/faq.php
Kwa mawasiliano na manunuzi:
π© DM / WhatsApp: +255 625187455
πTembelea dukani https://digitalfinix.store
Website sio gharama, ni uwekezaji wa kidijitali
05/01/2026
Unahitaji Website ya Biashara au Taasisi?
Wasiliana nasi:
Call /Whatsapp : +255 625187455
Tembelea https://digitalfinix.co.tz
05/01/2026
Digital Finix inawatakia mwaka mpya uliojaa mafanikio, ukuaji na innovation
Build. Secure. Grow.
visit us https://digitalfinix.co.tz
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam, Oysterbay
Arusha
255
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Simu Sokoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.