Kaska Tech

Kaska Tech

Share

Sisi ni mshirika wako wa kimkakati katika ukuaji.

Tangu mwaka 2018, tumejitolea kutoa mitambo na vifaa vya viwanda vya hali ya juu vinavyoongoza ufanisi, kuongeza tija, na kuhakikisha ubora wa utendaji kazi kwa biashara katika sekta za viwanda na kilimo.

13/09/2026

Chaff cutter. Mashine ya kusaga magunzi na nafaka za mifugo

13/09/2026

Press machine. Ina faaa kwa ku press au kutoa bush za magar madogo mpaka makubwa. Pia ina faaa kwa kufunga bell za mabox au za chupa.

Photos from Kaska Tech's post 13/09/2026

Saw mill zipo mashine za kuchana mbao. Sio mpaka china hapana hapa hapa ndan ya tanzania.

13/09/2026

wakulima na wafugaji. tuna waletea chaff cutter machine
Wasiliana nasi leo upate yako kwa bei nafuu kabla ya mzigo
kuisha!
Simu: [0612 099 479]
Mahali: [Arusha ]
GE, Usafiri: "Tunasafirisha mikoani kote!"
, , ,
,

13/09/2026

Press machine zipo. Kwanzia tone 10 mpaka 10 tuna kuundia. Karibun

13/09/2026

Je wewe ni mfugaji.
Una faham kuhusu chaff cutter / mashine ya kuchakata chakula cha mifugo.

11/08/2026

Leo tume wa letea jiko la oil chaf.oil stove jiko hili lina tumia oil chafu k**a nishati mbadala . lina faaa kwa sababu litakuokolea matumizi ya gas . oil inayo tumika ni chache sana.

11/08/2026

Jiko la oil chafu. Tuna unda majiko kwa matumizi ya nyumban na biashara.
K**a mnavyoona apo jiko halina moshi moto mkali.
Jiko letu lina tumia oil kidogo umeme mdogo karibun wateja.
Tuna unda kulingana na mahitaj yako usisite kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu

Send a message to learn more

Photos from Kaska Tech's post 11/08/2026

Jiko la oil chafu. Arusha ngaramton. Kwa wahitaj liwe na plate 2 au moja kubwa au dogo tuna kuundia karibun sana pia lina faaa kwa kuwapa kuku joto.

Oil kidogo tuu

02/12/2025

Je unafaham kwa nini bearing zako huaribika ndan ya mda mchache ?

Kwa wale wenye mashine leo tuna wahitaj hapa kwenye comments

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha
4044

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00