RKay Media

RKay Media

Share

Welcome to RKay Media. Your Voice, Your Choice R Kay Yanga Sc Fan Page

15/09/2026

Hawa hapa YangaSc watakaovaana na Geita Gold saa 1 usiku leo KMC Complex NBC Premier League

Aziz Ki na Mwalimu ndani.

Unadhani matokeo yatakuwaje baada ya dk 90?

12/09/2026

MatchDay


Young Africans Sports Club v Gaborone Utd

KMC Complex, Dar es Salaam

Saa 1:00 Usiku

Wananchi tuambieni hawa wabotswana mnawanyaje leo?

Gaborone Utd leo watatusamehe tu. Hii ishakuwa vita na mbaya zaidi adui ametufwata nyumbani. Haachei. Lazima aangamizwe.

It's Selemani Mwalimu Day. Come on, let's go and win this game πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Kila la kheri YangaSc πŸ™πŸ™πŸ™

12/09/2026

Maswali Yamejibiwa

Kocha wa YangaSc Manqoba amechaguliwa coach of the month of August 2026. Manqoba amewabamiza Ibenge wa Azam FC na Steve Barker wa Simba SC Tanzania ambao walikuwa kwenye kinyang'anyiro hicho.

10/09/2026

Soma kwanza alichoandika Ahmed Ally jana kisha nikuulize swali:

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Sawaaaaaaa mme saini kujenga jengo mbona hamuwaambii watu ukweli kuwa K**a Benki inatoa mkopo wa ujenzi wa Bilion 5.5, Je Benki italipwa kiasi gani?? Yaani riba ya mkopo huo ni kiasi gani na mkopo huo utalipwa kwa muda gani?!

Kipindi cha kulipa deni umiliki wa jengo utakua chini ya nani??

Hakuna kisichonihusu!!!
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

Swali: Yeye k**a meneja wa habari na msemaji tu wa SimbaSc, ni sahihi kwake kuizungumzia na kuikosoa mipango ya kimaendekeo ya YangaSc? Hivi yanatoka kwake au ametumwa?

Kumbuka na hapo mwishoni amemalizia kusema, "Hakuna kisichonihusu!!!" πŸ€”

09/09/2026

K**a kocha Manqoba amesema,

"Nataka Kushinda Ubingwa wa Afrika na YangaSc"

Nyie mnaopinga mna maana gani?

09/09/2026

Baada ya Clement Mzize na Dickson Job kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya check up ya mwisho majibu ni kwamba wako fit bin fit na tayari kwa mazoezi yote ya timu pamoja na mechi.

Naliona kosi Pana la Wananchi likikamilika. Shambuliaji limeongezeka na beki la taifa limeongezeka πŸ‘

Unazungumziaje kuongezeka kwa wachezaji hawa wawili kwenye kikosi cha Young Africans Sports Club ?

08/09/2026
Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00