INTEL Schools
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from INTEL Schools, School, Arusha.
10/08/2019
INTEL SCHOOLS
Wanafunzi wakiwa ndani ya maabara wakifundishwa somo la kemia(CHEMISTRY) kwa vitendo....
Fahari ya Sayansi kwa wanafunzi wetu, mlete mwanao, ndugu, jamaa au rafiki apate Elimu Bora kutoka INTEL SCHOOLS...๐๐๐
10/08/2019
Karibuni Sana INTEL SCHOOLS...
K**a una ndugu jamaa au rafiki, anayetafuta Shule ya msingi au sekondari... INTEL ni Shule nzuri itakauompatia Elimu Bora. Ni Shule inayofaulisha vyema n akufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa kwa darasa la nne, Saba , kidato cha pili na kidato cha nne. Pia
Shule Ina mazingira mazuri ya kusoma, walimu Bora, na wazoefu wanaofumdisha hata kwa vitendo, vifaa vya kutosha vya kujifunza na kufundisha...
Hakika INTEL SCHOOLS ni kisima bora cha Elimu kwa mwanao, ndugu, jamaa au rafiki...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when INTEL Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.