amedeusdr

amedeusdr

Share

Let the world see Jesus in your eyes, hear him from your lips and feel his presence via your actions.

06/08/2026

Zaburi 71:7

Bwana amenifanya kuwa Ajabu.

02/08/2026

Neno la Mungu lina uwezo wa Kusafisha na kutakasa Roho yako, nafsi yako na kuponya Mwili wako.
Jaza kwa wingi Neno la Mungu ndani yako.

01/08/2026

Kila udhaifu, Maradhi na ugonjwa katika Mwili wako vinapiga goti mbele ya Jina la Yesu. Pokea Uzima pale ulipo katika Jina la Yesu.

01/08/2026

Pokea katika Macho Yako.
Ile roho ya upofu imekutoka na uwezo wa Kuona vizuri umerejea. Macho yalo yamepona kuanzia Leo.

25/07/2026

N majira ya Mito ya Uponyaji!
Ni wakati kupokea muujiza wako!
Hii siku ya kujiliwa kwako.
🇹🇿

17/07/2026

Amani iwe kwako, Amani iwe kwa wakusaidiao!

14/07/2026

Mashujaa wa Daudi - Sehumu ya I

28/06/2026

Wewe Ndiwe Bora wa Mungu.
Jione kupitia lensi ya Neno la Mungu.
Kubali ushuhuda wa Mungu na tembea ndani yake.
🇹🇿

18/04/2026

Fanya Sala ya wokovu k**a bado hujazaliwa madam ya Pili

08/04/2026

Mwanadamu ni Nini Bila Mungu.
🇹🇿

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Chunya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Chunya

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when amedeusdr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Chunya.