Lumilo Classical Hotel
The #1 classic hotel in #Iringa town offers accommodation, a restaurant and the best view of the t
09/09/2026
Reserve the table 🔥 🔥 🔥 👇
https://wa.me/255672697642
20/01/2026
What to understand about our food!. 02
1. Veggie Pizza.
Veggie Pizza ni pizza inayotengenezwa kwa mchanganyiko wa mboga fresh k**a hoho, uyoga, vitunguu na nyanya, juu ya cheese iliyoyeyuka vizuri. Inafaa kwa wateja wanaopenda chakula chepesi lakini chenye ladha kamili.
2. Chicken Pizza.
Chicken Pizza inatumia vipande vya kuku vilivyopikwa vizuri na kuunganishwa na cheese na sauce maalum ya pizza. Ni chaguo bora kwa wateja wanaotaka chakula chenye nguvu zaidi na kinachoshiba.
3. Margherita Pizza.
Margherita Pizza ni pizza ya asili yenye cheese, nyanya na basil. Ni rahisi lakini ina ladha halisi ya pizza ya Italia. Inawafaa wateja wanaopenda simplicity na ubora wa ingredients kuliko vionjo vingi.
4. Beef Pizza.
Beef Pizza inatengenezwa kwa nyama ya ng’ombe iliyochaguliwa kwa ubora, ikichanganywa na cheese na sauce nzito ya pizza. Ni chaguo kwa wateja wanaotaka ladha kali, kushiba na experience kamili ya chakula.
Most of people they don't know how to get full!
🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Iringa Town Bus Station
Iringa
51104
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Lumilo Classical Hotel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.