Southern Tanzania Elephant Program
Dedicated to creating a secure future for elephants in southern Tanzania, and beyond
Our mission is to secure a peaceful future for elephants in southern Tanzania. We support the protection efforts of rangers; work with farmers and the broader community to enhance coexistence with elephants; and advise on conservation of elephant corridors.
12/08/2026
๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข!
Leo, tunaadhimisha mojawapo ya wanyamapori mashuhuri na wa kipekee barani Afrika โ tembo wa savanna wa Afrika na kutafakari umuhimu wa kulinda mandhari wanayoishi.
Kwa STEP, uhifadhi wa tembo si kulinda tembo pekee; ni kulinda mifumo ya ikolojia na jamii kwa ajili ya vizazi vijavyo vinavyotegemea mandhari hii.
Tunafanya hivyo ๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ญ๐๐ฆ๐๐จ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฆ๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐๐ก๐-๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐, ikiwemo kusaidia doria, pamoja na kuwajengea uwezo na kuwapatia vifaa askari wa wanyamapori na Askari wa Vijiji (VGS) ili kutekeleza majukumu yao kwa usalama na weledi.
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ข๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฆ๐๐๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฆ๐๐ง๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ง๐๐๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข. Kwa kushirikiana na wakulima na jamii, STEP inatafuta njia za vitendo za kulinda mazao dhidi ya tembo, kuimarisha usalama wa watu, na kuboresha maisha na ustahimilivu wa jamii.
Kulinda tembo kunahitaji ushirikiano imara, ushirikishwaji wa jamii, na ulinzi wa muda mrefu wa maeneo wanayoishi na kutegemea.
๐๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ก๐ข๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข, tunawapongeza na kuwashukuru wote wanaofanya kazi kila siku kuhakikisha tembo wanaendelea kuwepo na kustawi katika mandhari za Tanzania.
๐๐ฐ๐ ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ข ๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฅ๐๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ก๐๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ญ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ฒ๐๐จ
# UhifadhiWaVitendo
31/07/2026
๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐ญ๐๐ข๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข ๐๐๐๐
Leo tunawatambua na kuwapa heshima askari wa wanyamapori wanaolinda wanyamapori, misitu na urithi wetu wa asili ambao sote tunautegemea. Wao ni walinzi walio katika mstari wa mbele katika kulinda bioanuwai na kuhakikisha rasilimali zetu zinaendelea kunufaisha vizazi vya sasa na vijavyo.
Kaulimbiu ya mwaka huu, โ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข: ๐๐๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฒ๐๐ซ๐ข ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐๐๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐,โ inaangazia nafasi muhimu ya askari wa wanyamapori katika kulinda misitu na wanyamapori, kuimarisha ustahimilivu wa mifumo ya ikolojia, kukuza uhusiano wa amani kati ya binadamu na wanyamapori, na kuhifadhi mifumo ya asili inayotegemewa na mazingira na jamii katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Katika mandhari ya ikolojia ya Udzungwa na RuahaโRungwa, ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฃ๐ข๐ฏ๐ฎ๐ง๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐๐ซ๐๐ก๐๐ค๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข (๐๐๐), ๐ฐ๐๐ฃ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ญ๐ข ๐ณ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐ ๐๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข (๐๐๐๐๐ฌ), ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ Tanzania National Parks, TAWA TANZANIA , ๐ง๐ Tanzania Forest ServicesAgency, ambao hufanya kazi bila kuchoka kulinda mojawapo ya maeneo muhimu zaidi ya bioanuwai nchini Tanzania na jamii zinazotegemea rasilimali zake.
๐๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ญ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฉ๐จโ๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐ ๐ฌ๐๐ง๐. Kazi yenu si rahisi, na mara nyingi haitambuliwi kwa kiwango mnachostahili. Hata hivyo, kila doria mnayofanya, kila msitu mnaoulinda, kila spishi mnayoihifadhi, na kila jamii inayonufaika na kujitolea kwenu ni ushahidi wa mchango mkubwa mnaoutoa kila siku katika kulinda urithi wetu wa asili. Tunawapongeza na kuwashukuru kwa ujasiri, weledi na kujitolea kwenu katika kuhifadhi maliasili za Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na vijavyo.
๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐ญ๐๐ข๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข!
06/07/2026
๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐ฎ๐ฉ ๐๐ฆ๐๐ซ๐๐ฃ๐๐!
Muda umewadia! Tembo Cup inarejea tena Kizigo na Muhesi, ikileta pamoja jamii katika mashindano mengine ya kusisimua ya mpira wa miguu, mpira wa pete, michezo mingine mbalimbali na uhifadhi wa wanyamapori.
Tembo Cup imeandaliwa kwa ushirikiano na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA TANZANIA), Halmashauri za Wilaya husika Pamoja na washirika wengine wa STEP. Tembo Cup si mashindano ya michezo pekee bali ni jukwaa linalowaunganisha watu, kuibua na kuendeleza vipaji vya ndani, na kuhamasisha mahusiano ya amani kati ya binadamu na wanyamapori.
Katika kipindi chote cha mashindano, jamii zitashiriki katika elimu ya uhifadhi, michezo yenye ushindani wa kusisimua, na shughuli mbalimbali zinazokuza ushirikiano, kujifunza, na kujivunia jamii zao. Kupitia michezo na elimu ya uhifadhi, Tembo Cup inaendelea kuhamasisha uwajibikaji wa pamoja katika kulinda maisha ya watu na kuhifadhi wanyamapori.
๐๐ฐ๐ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐จ๐ญ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ณ๐จ๐ฃ๐ข๐๐ง๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข, ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฐ๐๐ญ๐๐ค๐ข๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ฅ๐ ๐ก๐๐ซ๐ข. Chezeni kwa bidii, nidhamu, na uungwana, na tunawatakia mashindano yenye kumbukumbu nzuri ndani na nje ya uwanja.
Tunawashukuru Nawiri Foundation na Fondation Prince Albert II de Monaco kwa kutoa msaada wa kifedha uliofanikisha kufanyika kwa Tembo Cup kwa mwaka 2026.
15/06/2026
๐๐ฎ๐ฎ๐ง๐ ๐๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข, ๐๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ง๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
Nyuma ya juhudi za kuzuia na kudhibiti shughuli haramu pamoja na kuimarisha utawala bora katika Milima ya Udzungwa, kuna timu ya kipekee inayofanya kazi kwa bidii. ๐๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐๐๐ญ๐๐ซ ๐๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐ง๐๐ข, ๐๐ซ๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐.
Tangu ajiunge na STEP mwaka 2025, Peter amekuwa mstari wa mbele kushirikiana na TANAPA,TFS, na jamii zinazopakana na maeneo ya hifadhi. Kazi yake inalenga kuimarisha ulinzi endelevu katika maeneo matatu muhimu : Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa (UMNP), Hifadhi ya asili ya misitu ya Uzungwa (USNFR), na Hifadhi ya Asili ya Misitu ya Kilombero (KNFR). Jukumu lake linajikita katika kuimarisha ushirikiano imara, kuboresha matokeo ya uhifadhi, na kukuza uhifadhi shirikishi unaoongozwa na jamii.
Akiwa na uzoefu k**a Mratibu wa Utafiti, Fundi Sanifu wa Bayoanuai, na Msaidizi wa Mafunzo, Peter ana shauku ya kutumia teknolojia na takwimu kuboresha maamuzi ya uhifadhi. Anaamini kuwa mafanikio ya muda mrefu yanategemea ushiriki hai wa jamii za wenyeji katika kulinda mazingira
Nje ya majukumu ya kazi, Peter anapenda kusoma, kutembelea maeneo mapya, kufanya mazoezi, na kutafuta fursa za kujifunza na kujiendeleza. STEP inajivunia kuwa na Peter katika timu yake, ambapo anaendelea kutoa mchango muhimu katika kuimarisha juhudi za uhifadhi kila siku.
๐๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐๐๐๐.
Mwaka 2025 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa uhifadhi Kusini mwa Tanzania kupitia ushirikiano wa jamii, serikali na wadau wa uhifadhi.
๐๐๐ญ๐ฎ๐ ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ซ๐๐ฌ๐ฆ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ณ๐ ๐ง๐๐ก๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ข๐, hatua inayosaidia kulinda makazi ya wanyamapori na kuimarisha mahusiano kati ya binadamu na tembo.
Kwa kushirikiana na jamii, taasisi za serikali na wadau wa uhifadhi, STEP ilifanikiwa yafuatayo:
๐ข ๐๐ฎ๐๐๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฆ ๐๐,๐๐๐ ๐ณ๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐ ๐ณ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐ฆ๐ข๐ญ๐๐ ๐จ ๐,๐๐๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ ๐ค๐๐ฆ๐๐ข ๐๐๐ ๐ณ๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐ข๐ง๐๐๐ฃ๐ข ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ฎ
๐ข ๐๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐ฌ ๐๐ ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ก๐๐ฆ๐ ๐,๐๐๐
๐ข ๐๐ฎ๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐๐,๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐ ๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐ซ๐๐ค๐จ๐๐ข ๐๐ข๐ง๐ ๐๐ ๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐๐จ ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Mafanikio haya yanaonyesha ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข, ๐ฐ๐๐ญ๐๐๐ข๐ญ๐ข, ๐ฐ๐๏ฟฝ
23/05/2026
๐๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข
Afya bora ya kuku huanza na maarifa sahihi. Kwa msaada wa , STEP kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka ๐๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฅ ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ญ ๐๐จ๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ๐๐ง๐ญ ๐๐ง๐ ๐๐๐๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ฒ ๐๐จ๐ฆ๐ฉ๐๐ง๐ฒ iliendesha mafunzo ya afya ya kuku๐ค๐ฐ๐ ๐ฅ๐๐ง๐ ๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ฐ๐๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐๐จ๐ ๐จ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ก๐๐ฌ๐๐ซ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ณ๐จ๐ญ๐จ๐ค๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐.
๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐ ๐๐๐ ( ๐๐% ๐ฐ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐).Mafunzo ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐, ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ง๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐ฌ๐๐ก๐ข๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ง๐ฃ๐จ ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐๐ซ๐ข.
Kwa kuwapatia wafugaji maarifa na ujuzi, ๐๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฒ๐, ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐ก๐ข๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ณ๐๐ข๐๐ข.
16/05/2026
๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐ง๐๐จ ๐ก๐๐๐ข ๐๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข: ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ณ๐๐๐๐ญ๐ก
Uhifadhi wa maeneo ya Tanzania yenye bioanuwai kubwa hauhitaji mikakati pekee, bali pia unahitaji ujasiri, kujitolea, na watu wenye dhamira ya kweli ya kulinda hifadhi zetu. Kutana na Elizabeth Masatu โ mmoja wa mashujaa wanaoleta mabadiliko kila siku kupitia juhudi zake za dhati katika uhifadhi.
Eliza alijiunga na shirika la STEP mwaka 2022 k**a mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo , na baadaye akawa Afisa Ushoroba, akisaidia urejeshwaji wa Shoroba ya Wanyamapori ya NyerereโUdzungwa katika Bonde la Kilombero. Mwaka 2024, alihamia Idara ya Uhifadhi ya STEP, ambako sasa anahudumu k**a Afisa Uhifadhi
Katika nafasi yake ya sasa, Eliza huratibu doria za pamoja na , na Askari wa Wanyamapori wa Vijiji katika maeneo matatu muhimu ya hifadhi, akisaidia kuimarisha juhudi za uhifadhi katika mandhari ya UdzungwaโKilombero. Pia anaongoza shughuli za chumba chaufuatiliaji cha STEP (control room), akisimamia mfumo wa EarthRanger kufuatilia timu za uwandani na kusaidia maamuzi ya haraka kwa ufanisi zaidi wa uhifadhi wa uwandani.
Eliza pia ni mhitimu wa programu ya Grumeti Fundโs Women in the Field. Akiwa nje ya kazi ya uhifadhi, Eliza hupendelea kusafiri, kutazama filamu, na kusikiliza muziki.
K**a spishi muhimu (keystone species) katika mfumo wa ikolojia, Eliza ana mchango mkubwa katika kuimarisha na kudumisha juhudi za uhifadhi ndani ya STEP. Tunajivunia kuwa naye katika timu yetu na kushirikiana naye katika safari hii ya uhifadhi yenye msukumo mkubwa.
09/05/2026
๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ง๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ข๐ฅ๐จ๐ฆ๐๐๐ซ๐จ
Kila mtoto mwenye ufahamu kuhusu wanyamapori leo, anachangia kujenga kesho salama zaidi kwa watu na mazingira.
Kupitia programu yetu ya uhamasishaji shuleni, wanafunzi wanaoishi karibu na maeneo ya hifadhi wanajifunza:
โ
Hatua za usalama wanapokutana na tembo
โ
Tahadhari wakati wa kukutana na wanyamapori
โ
Umuhimu wa kulinda mazingira na wanyamapori katika jamii zao
Hadi sasa, tumefundisha jumla ya masomo 6 katika shule 31, ikiwemo shule 8 za sekondari. Mwaka 2025 pekee, tumefundisha:
๐ Wanafunzi 4,907
๐ง Wasichana 2,486
๐ฆ Wavulana 2,421
Vipindi hivi vya mafunzo ya elimu vimetolewa na Mwezeshaji wetu wa idara ya Kuishi kwa Ushirikiano na Wanyamapori na Maisha Endelevu (Coexistence and Livelihoods), Beatrice Lihaku. Tunamshukuru kwa dhati Beatrice kwa kazi kubwa anayofanya katika kutoa mafunzo haya kote Bonde la Kilombero.
Hii ni zaidi ya elimu โ ni kujenga mustakabali ambapo watu na wanyamapori wanaweza kuishi pamoja kwa usalama na uendelevu.
02/05/2026
๐๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ซ๐ข๐ค๐๐ฅ๐ข ๐ณ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐: ๐๐๐ง๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Tarehe 10 Aprili 2026, hatua muhimu ilipatikana katika Ukanda wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa (NUWC) kwa kuanzishwa rasmi kwa K**ati ya Usimamizi ya Pamoja- Joint Management Committee (JMC) chini ya Kanuni za Maeneo ya Njia za Wanyamapori (ushoroba) za 2018. Hii ni hatua ya kuimarisha utawala wa ndani na uendelevu wa ushoroba wa kwanza wa wanyamapori uliotambuliwa kisheria Tanzania.
JMC inahusisha viongozi wa vijiji vya Sole, Mangโula A, na Kanyenja, pamoja na mamlaka za serikali na taasisi za uhifadhi k**a , , , , na Ofisi ya Wakili wa Halmashauri ya Ifakara ()chini ya uratibu wa STEP.
Baada ya mchakato wa uwazi wa uchaguzi na uapisho, uongozi uliundwa k**a ifuatavyo:
>Mwenyekiti โ Kijiji cha Sole
>Makamu Mwenyekiti โ TAWA
>Katibu โ Afisa Wanyamapori wa Wilaya (MNRT)
Uanzishwaji huu unaonesha wazi kuwa jamii ziko katikati ya maamuzi ya usimamizi wa ushoroba huu, zikishirikiana na serikali na wadau wa uhifadhi.
Kwa uratibu wa kwa kushirikiana na , JMC hii ni mfano wa uongozi wa kijamii unaolenga uhifadhi shirikishi na endelevu ambapo watu na wanyamapori wanaishi kwa pamoja kwa ustawi.
**atiYaUsimamiziYaPamoja
18/04/2026
๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Ushoroba wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa ni mfano muhimu wa kujifunza jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia muunganiko wa makazi ya wanyamapori na kuimarisha uhusiano chanya kati ya binadamu na wanyamapori katika maeneo yenye matumizi mchanganyiko ya ardhi.
Kwa sababu hiyo, STEP kwa kushirikiana na na Kituo cha Ufuatiliaji wa Ikolojia cha Udzungwa (.tanzania ), imekuwa ikifuatilia jinsi wanyamapori wanavyotumia ushoroba huu.
Kupitia matumizi ya kamera za kunasa picha (camera traps) na doria za ardhini za kila mwezi, tumerekodi aina 28 za mamalia katika eneo la ushoroba, wakiwemo tembo, nyati, mondo, na mbawala. Inatia moyo kuwa matokeo ya awali yanaonesha ongezeko la shughuli za tembo katika ushoroba tangu mwaka 2023.
Pia tunashirikiana na Wafuatiliaji wa Tembo wa Kijiji (Local Elephant Monitors) katika vijiji jirani kufuatilia uharibifu wa mazao unaosababishwa na tembo, ambapo matokeo ya awali yanaonesha kupungua kwa matukio hayo.
Kwa pamoja, ufuatiliaji huu wa muda mrefu unatoa uelewa muhimu kuhusu jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia harakati za wanyamapori na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na tembo.
Shukrani kwa msaada mkubwa na wa ukarimu kutoka kwa USAID, , , na , kazi hii inaendelea kutoa ushahidi muhimu unaosaidia kuongoza hatua za uhifadhi na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na wanyamapori katika mandhari yote ya eneo hili.
uhifadhiafrika
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Address
P. O. Box 2494
Iringa
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Southern Tanzania Elephant Program posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.