Asante Digitals Computing Lab
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asante Digitals Computing Lab, Computer Company, Iringa.
Our Services
Website deaign & Hosting | Website management | Graphic Design | Social Media Management | Printing Services | Sales of Computers and Accessories | Software development and integration
05/09/2026
Asante Digitals tunabuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali (Web Applications) inayosaidia biashara, taasisi na mashirika kurahisisha shughuli zao za kila siku na kuboresha huduma wanazowapa wateja wao. Iwe ni mfumo wa usimamizi wa biashara, usajili wa mtandaoni, portal ya wateja au mfumo unaotumia hifadhidata, tunajikita katika kutengeneza suluhisho zinazofaa matumizi halisi ya mteja, rahisi kutumia na zenye matokeo yanayoonekana. Kila mradi huanza kwa kuelewa mahitaji ya mteja ili kuhakikisha mfumo unaojengwa unatatua changamoto za kweli.
Huduma zetu haziishii kwenye utengenezaji wa mfumo pekee. Tunashirikiana na mteja katika kila hatua ya maendeleo ya mradi, kuanzia kupanga, kubuni, kufanya majaribio, kuzindua mfumo hadi kutoa msaada wa kiufundi baada ya kuanza kutumika. Tunatengeneza mifumo salama, inayofanya kazi vizuri kwenye simu, kompyuta na vifaa vingine, huku ikiwa na uwezo wa kukua kadri biashara au taasisi inavyopanuka. Kwa uzoefu wetu wa kufanya kazi na makampuni, taasisi na mashirika mbalimbali nchini Tanzania, Asante Digitals imejikita katika kutoa suluhisho za kidijitali zenye ubora na thamani ya muda mrefu.
04/09/2026
02/09/2026
Unahitaji T-shirt zenye printing nzuri na ya kuvutia?
Asante Digitals Computing Lab – Iringa tunafanya T-shirt printing kwa ajili ya watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi, shule, timu za michezo na matukio mbalimbali.
Unaweza kutupatia logo, picha, jina au ujumbe unaotaka uchapishwe kwenye T-shirt yako, nasi tutakusaidia kupata design nzuri na print yenye ubora.
Tunapokea oda za T-shirt chache au nyingi, kulingana na mahitaji yako.
📍 Tunapatikana Iringa Mjini
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Asante Digitals mdau wako wa printing na TEHAMA
17/07/2026
We’ve got a fresh new look! 🌲💻
We recently wrapped up an exciting digital upgrade project for the Forestry and Wood Industries Training Centre (FWITC) in Mafinga!
FWITC does incredible work training the next generation of forestry and wood industry professionals in Tanzania.
Our goal was to build them a digital home that is as modern, efficient, and professional as the training they provide.
What’s new?
• ⚡ Super-fast loading times.
• 📱 Sleek, mobile-friendly layout.
• 🗂️ Easier access to course info, updates, and resources.
Proudly designed and optimized by the team at Asante Digitals.
👉 Check out the live updates and let us know what you think! https://www.fwitc.ac.tz
FWITC — Forestry and Wood Industries Training Centre Practical, competence-based training in forestry and wood industries in Tanzania.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Iringa
255
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 18:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 18:00 |
| Sunday | 11:00 - 18:00 |
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Asante Digitals Computing Lab posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.