Bosdroid
Huu ni ukurasa rasmi wa Bosdroid hapa utaweza kupata taarifa za michezo mbali mbali ya AFRIKA.🇨🇩⚽
02/09/2026
Video ya Preview Tayari imetoka link ya Video ipo katika Comment ya kwanza
31/08/2026
Tumeweza Kukaribia Hatua Za Mwisho Katika Kuandaa Mchezo Wa DLS 2027 AFRICA MOD ambayo kwa Mara ya kwanza Itakuwa Na Timu Mbili Pekee Za Africa Kisha Katika katika Matoleo mengine ya Mchezo huu Tutaweza Kuongeza Timu Zingine Za Africa, Hivi Karibu nitaweza Kuchapisha Video Ya Trailler kaa tayari Kuiona na Kuona Mchezo Ulivyo.
Endeala Kutufuatilia Kwa Taarifa Zaidi
Tayari Unayo Hii FTS ?
Dls 2027 Africa Mod 🌍
26/08/2026
✅️Rasmi Tumeanza Mradi wetu mpya wa Mchezo wa Kushangazaa Ambao MOD Yake ya africa Haikuwi Kuwepo Miaka Ya Nyuma ambayo Ni DLS 19 mod DLS 2027 Africa Mod Hivi Karibuni Nitaweza Kukuonyesha Baadhi ya Wachezaji Ambao Wapo katika Mchezo Na Ambao Tutaweza Kuwaongeza Pamoja Na Nyuso Zao , jambo la Kujuwa Ni kwamba Hatuto weza Kuweka uso wa Kila Mchezaji katika Mchezo lakini tuta Weka Kwa Baadhi ya Wachezaji na Kisha Wengine Watakuwa wanaongezwa Kadri Tunavyo toa Matoleo Mengine , asante Kwa Kuendela Kutufuatilia✅️
14/08/2026
Rasmi tumeweza Kukamilisha Mradi wetu wa FTS 2027 NBC MOD ambayo imekuja na Vikosi Vipya pamoja na Jezi mpya
Utatoka Hivi karibuni
08/08/2026
#2027
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Kigoma
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Bosdroid posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.