EACLC
Welcome to EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTICS CENTER #EACLC. This is our official facebook account
28/07/2026
π MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO! π₯π₯π₯
Kwa mwaka mmoja, EACLC imeendelea kuwa kitovu cha biashara, burudani na fursa zisizo na kikomo. Tunakushukuru kwa kuwa sehemu ya safari hii ya mafanikio!
Jiunge nasi kuanzia tarehe 1β10 Agosti kwa siku 10 za burudani zisizopimika, zawadi kibao, show za wasanii, vyakula mbalimbali, influencers maarufu na mengi zaidi. Kila unaponunua bidhaa, una nafasi ya kushinda kupitia kadi maalumu za droo ya kila siku!
Karibu EACLC, Ubungo, tusherehekee pamoja na tuanze sura mpya ya mafanikio! β¨
DarEsSalaam CelebrateWithEACLC ShoppingAndEntertainment Tanzania OneYearOfSuccess EACLCOfficial
π EACLC Inakwenda kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Kuanzishwa Kwake! π
Kuanzia tarehe 1 hadi 10 Agosti, EACLC itakuwa katika maadhimisho maalum ya kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Jiandae kwa siku 10 za kipekee zenye:
* Maonesho mbalimbali
* Uuzaji wa bidhaa za aina tofauti
* Zawadi za kuvutia
* Performance za wasanii mbalimbali
* Burudani za kutosha kwa watu wa rika zote
Huu ni wakati wa kusherehekea mafanikio, kukuza biashara, na kuungana pamoja katika safari ya EACLC ya mwaka mmoja wa ukuaji na fursa.
Usikose kuwa sehemu ya historia hii. Tuonane EACLC kuanzia tarehe 1β10 Agosti!
Usiku wa burudani, michezo na furaha umefika π₯π₯
Karibu EACLC usiku huu kwenye VITAS Night π₯π₯tukio maalum lililoandaliwa kwa ushirikiano wa Selemani Semunyu na AzamTV .Jiandae kushuhudia burudani ya kipekee, kukutana na wadau mbalimbali na kuwa sehemu ya kumbukumbu nyingine kubwa ndani ya East Africa Commercial and Logistics Center.
Usikose nafasi ya kushiriki, kupiga picha, na kufurahia mazingira ya kisasa ya EACLC. Leo tunakutana, tunafurahi na tunaandika historia pamoja!
π Venue: EACLC β East Africa Commercial and Logistics Center
EastAfricaCommercialAndLogisticsCenter EntertainmentNight TanzaniaEvents VisitEACLC ExperienceEACLC VitasAtEACLC NightOfEntertainment TanzaniaYiwuMarket
Tanzania inaendelea kuandika historia mpya ya biashara! πΉπΏ
Ufunguzi rasmi wa Tanzania Yiwu Market ndani ya East Africa Commercial & Logistics Center (EACLC) uliashiria hatua muhimu katika safari ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na uwekezaji Afrika Mashariki.
Tanzania Yiwu Market ni zaidi ya soko; ni jukwaa linalounganisha fursa, bidhaa na masoko ya kimataifa, likifungua milango mipya kwa wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wa biashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kupitia maono haya, EACLC inaendelea kujidhihirisha k**a βYiwu ya Tanzaniaβ β mahali ambapo mustakabali wa biashara unaanzia.
Tunawashukuru wageni wote, wadau na washiriki waliohudhuria na kuwa sehemu ya tukio hili la kihistoria.
Tanzania Yiwu Market β Where Opportunities Meet the Future.
22/07/2026
Tanzania inaandika historia mpya! πΉπΏ
Kuanzia sasa, East Africa Commercial & Logistics Center (EACLC) inakwenda kuwa Yiwu ya Tanzania.
Tanzania Yiwu Market inaleta enzi mpya ya biashara kwa kuunganisha fursa, bidhaa na masoko ya kimataifa katika eneo moja. Hapa ndipo safari ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki inaanza.
Jiunge nasi kuandika historia na kuwa sehemu ya mustakabali wa biashara usio na mipaka.
Tanzania Yiwu Market β The Future of Trade Starts Here.
BusinessHub InvestInTanzania DarEsSalaam AfricaBusiness GlobalTrade CommercialCenter LogisticsHub FutureOfTrade MadeForEastAfrica
20/07/2026
Karibu EACLC β East Africa Commercial and Logistics Centre, kitovu cha biashara cha kisasa kinachokutanisha wafanyabiashara, wanunuzi na wawekezaji chini ya paa moja! β¨
Tembelea mazingira yetu mazuri, salama na yenye miundombinu ya kisasa huku ukifurahia kufanya manunuzi kwa bei za ofa kutoka kwa wauzaji mbalimbali waliopo ndani ya EACLC.
Je, unatafuta sehemu ya kukuza biashara yako? Tunayo nafasi za frame, maduka na ofisi zinazofaa kwa biashara za aina mbalimbali. Jiunge na jamii ya wafanyabiashara wanaonufaika na fursa za soko kubwa, wateja wengi na mazingira bora ya biashara kila siku.
βοΈ Maduka ya bidhaa mbalimbali
βοΈ Bei za ushindani na ofa maalum
βοΈ Maegesho ya kutosha
βοΈ Usalama wa uhakika
βοΈ Mazingira safi na ya kisasa
βοΈ Fursa za frame, maduka na ofisi kwa biashara yako
Usikose nafasi hii! Njoo EACLC leo, fanya manunuzi, pata ofa na uweke biashara yako katika eneo linalokua kwa kasi zaidi jijini Dar es Salaam.
RetailBusiness OfficeSpace ShopSpace MadeInChina TradeAndBusiness InvestAtEACLC
18/07/2026
πβ½ FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2026 LIVE EACLC! β½π
Kesho ni siku ya historia! Njoo uungane nasi Ground Floor β EACLC kuanzia saa 3:00 kamili usiku kushuhudia fainali kubwa ya Kombe la Dunia kwenye Big Screen ya EACLC.
π Hakuna kiingilio kabisa!
π¨βπ©βπ§βπ¦ Njoo na marafiki na familia yako
π₯€ Vinywaji vitakuwepo
π Vaa jersey ya kibingwa upendeze
πΊ Furahia mechi katika mazingira bora na screen kubwa zaidi
π₯ Tukutane EACLC tuandike historia pamoja!
ArgentinaSpain EACLCGroundFloorWorldCupFinalDarEsSalaamEvents HakunaKiingilioFootballFansTZ β½ππ₯
π Karibu kwenye website rasmi ya EACLCπ₯π₯βοΈπ±
Sasa unaweza kununua bidhaa mbalimbali kutoka EACLC ukiwa popote ulipo. Kupitia website yetu, utaweza kuwasiliana moja kwa moja na wauzaji waliopo EACLC, kupata taarifa za bidhaa unazohitaji, kufanya mazungumzo ya biashara kwa urahisi, na kupata bidhaa zako kwa haraka zaidi.
Hakuna haja ya kufika EACLC ana kwa ana ili kupata huduma. Tembelea website yetu na ugundue maelfu ya bidhaa kutoka kwa wauzaji mbalimbali chini ya paa moja.
Tembelea sasa: www.eaclc.com
EACLC β Tunarahisisha biashara kati ya wanunuzi na wauzaji kwa njia ya kidijitali.
.eaclc.com ποΈ
Sabasaba imeisha, lakini fursa zinaendelea EACLC! π
Tangaza biashara yako katika eneo linalokua kwa kasi na lenye mwonekano mkubwa kwa wateja na wawekezaji.
β
Vigoli kuanzia TSh 250,000 tu kwa mwezi
β
Frem kuanzia TSh 800,000 tu kwa mwezi
Lipa kwa kipindi cha miezi sita na uendelee kufurahia nafasi ya kuitangaza biashara yako katika kitovu cha biashara na uwekezaji.
Baada ya Sabasaba, kampuni na viwanda vingi vinaendelea na shughuli zake EACLC, hivyo kufanya eneo hili kuwa sehemu sahihi ya kuongeza mwonekano wa chapa yako kila siku.
π EACLC β Mahali ambapo biashara hukutana na fursa.
Wasiliana nasi leo uhifadhi nafasi yako!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Makabe