Meshack Loti

Meshack Loti

Share

tour and safari

28/09/2024

_Mume wa mwanamke mpumbavu ndie uwa njia ya mafanikio kwa mwanamke muhitaji Dunia inamengi ukishindwa kusimama kwaajili ya ulicho andikiwa basi utakuja kutafuta bila kupata unacho kitamani wakati mwingine avito onekana kabisa kwakua kunagarama kubwa katika kusubiri bila kuchoka kwa ambao awajawahi kupoteza kwakua uwezi kuwa muhitaji k**a ujawahi kua na umuhimu ambao maranyingi uja baada ya kupoteza_🧠👁️❤️

27/09/2024

_Unaweza kua na marafiki wengi wanaopenda kuona ukitabasamu ila kua na marafiki wachache ambao watakua na uwezo wa kuona maumivu yako nyuma ya tabasamu lako Hawa nizaidi ya waelewa juu yako_ 🧠🫀

27/09/2024

_Unaweza kuchukulia kawaida Ila elewa neno lolote lenye maana aliwezi kutolewa na asiewaza vyema katika usahihi wenye maana kwakua wengi uongozwa na wanavyo vikurupukia katika mawazo yao sio wanavyo jipa muda katika kutafakari_🧠

06/11/2022
06/11/2022

Sure

Want your restaurant to be the top-listed Restaurant in Manyara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Babati Manyara
Manyara