Bongo Channel
Sports site Follow instagram yangu @bongochannel_
31/07/2026
TAARIFA KWA UMM📌
❤️
30/07/2026
Hii nchi hii 😂😂😂😂
29/07/2026
NEYMAR ATANGAZA KUSTAAFU MPIRA WA MIGUU KATIKA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL! 🇧🇷💔
Neymaramesema, “Muda wangu katika timu ya taifa umekwisha.”
Anaondoka akiwa mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea Brazil, akiwa amecheza mechi 130 na kuchangia mabao pamoja na pasi za mabao (assists) 139.
29/07/2026
HALI YA SOKO LA DHAHABU DUNIANI LEO JULY 29, 2026...
Hapa kuna muhtasari wa bei elekezi za madini ya Dhahabu (Gold), Fedha (Silver), na Shaba (Copper) kwa tarehe 29 Julai, 2026:
1. Dhahabu (Gold Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/toz): $4,106.10
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TSh 351,251.19
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TSh 316,126.07
Bei ya Kituo cha Ununuzi / Buying Centre (TZS/g): TSh 309,101.05
2. Fedha (Silver Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/toz): $59.04
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TSh 5,050.50
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TSh 4,545.45
Bei ya Kituo cha Ununuzi / Buying Centre (TZS/g): TSh 4,444.44
3. Shaba (Copper Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/lb): $6.30
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TSh 36.95
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TSh 33.26
Bei ya Kituo cha Ununuzi / Buying Centre (TZS/g): TSh 32.52
Chanzo Tume ya Madini
28/07/2026
Mnyama ameokota sare nyingine hapa dhidi ya Jamus, mchezo wa pili
FT'I SIMBA SC 0-0 JAMUS
Kagame Cup
28/07/2026
🚨 HABARI | NEYMAR ANAWEZA KUONDOKA SANTOS NA UNGANA TENA NA MESSI INTER MIAMI. 🇧🇷🐐
Ni ngumu sana Neymar kuongeza mkataba wake na Santos na anaweza kuwa mchezaji huru mwezi Desemba, fursa inayofungua milango ya changamoto mpya.
📊Kwa mujibu wa Kalshi, Inter Miami ndiyo timu inayoongoza na yenye nafasi kubwa zaidi ya kumsajili Neymar ikiwa ataondoka Santos:
Ikiwa usajili huu utatokea, mashabiki wa mpira wa miguu wanaweza kushuhudia awamu ya mwisho ya ushirikiano wa kabumbu kati ya Messi na Neymar, safari hii ikiwa ni katika ligi ya MLS nchini Marekani akiwa na Inter Miami
28/07/2026
HALI YA SOKO LA DHAHABU DUNIANI LEO JULY 28, 2026...
Hapa kuna muhtasari wa bei elekezi za madini ya Dhahabu (Gold), Fedha (Silver), na Shaba (Copper) tarehe 28 Julai, 2026
1. Dhahabu (Gold Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/toz): $4,106.10
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TZS 350,783.86
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TZS 315,705.47
Bei ya Kituo cha Upatikanaji/Ununuzi (Buying Centre Price - TZS/g): TZS 308,689.80
2. Fedha (Silver Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/toz): $59.04
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TZS 5,043.78
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TZS 4,539.41
Bei ya Kituo cha Upatikanaji/Ununuzi (Buying Centre Price - TZS/g): TZS 4,438.53
3. Shaba (Copper Indicative Prices)
Bei ya Soko la Dunia (USD/lb): $6.35
Bei ya Soko la Dunia (TZS/g): TZS 37.20
Bei ya Soko la Madini (TZS/g): TZS 33.48
Bei ya Kituo cha Upatikanaji/Ununuzi (Buying Centre Price - TZS/g): TZS 32.73
Chanzo Tume ya Madini
28/07/2026
Aisee wananchi wameamua kufanya balaa kwenye dirisha hili la usajili
Shasha boy, Peter Shalulile sasa atavaa kijani na njano mitaa ya Jangwani
Shasha boy ni Mwananchi....
27/07/2026
Mpango wa usajili wa Ribeiro🇧🇷 kujiunga na Espérance de Tunis🇹🇳 umefeli rasmi. Kiungo huyo raia wa Brazil alikuwa amesafiri mpaka nchini Tunisia kujadili mkataba wake, lakini hatimaye makubaliano hayo yameshindwa kufikiwa
Ribeiro sasa amejiunga rasmi na Al-Ittihad SC 🇱🇾, huku kocha mpya wa klabu hiyo raia wa Tunisia, Faouzi Benzarti, akisisitiza kuwa Mbrazil huyo abakie katika klabu hiyo ya Libya
Mabadiliko haya ya ghafla yameleta mshangao kwenye moja ya sakata za usajili zilizozungumzwa zaidi msimu huu wa kiangazi.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt. Rugemeleza Nshala amesema kuwa jumla ya viongozi na wanachama 61 wameshtakiwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya ugaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Julai 27, 2026 Dkt. Nshala ameeleza kuwa pamoja na chama hicho kuweka msimamo hadharani na kutoshiriki 'maandamano' yaliyopangwa kufanyika Jula 7, 2026 bado wanachama wake walikamatwa kwa madai ya kupanga maandamano hayo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Lupaso
Masasi
63539
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Bongo Channel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.