DM TechNova
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DM TechNova, Uyole, Mbeya.
Tunakusaidia kupata huduma za serikali bila stress.
📝 RITA | HESLB | NIDA | Ajira Portal | CV
đź’ˇTips za kupata huduma Mbalimbali
👇Wasiliana nasi sasa
https://whatsapp.com/channel/0029Vb81scjJf05fnp4TCh1a
14/09/2026
Kuna vitu vidogo unavipuuzia leo, mpaka siku vinapokuwa hitaji la lazima.
Cheti cha kuzaliwa ni kimoja wapo.
Usisubiri mpaka uwe na haraka, safari, masomo, kazi au huduma nyingine ikuhitaji cheti ndipo uanze kuhangaika kukipata.
Sasa unaweza kuomba cheti cha kuzaliwa mtandaoni ukiwa popote ulipo.
Sisi tunakusaidia kwenye mchakato mzima, hatua kwa hatua, ili usipoteze muda ukijaribu kuelewa kila kitu mwenyewe.
📲 Tuma ujumbe sasa — tuanze na wewe.
WhatsApp/Call: 255618422605
Huduma Kidigitali
~ Umbali siyo sababu tena!
01/09/2026
KESHO UKIITWA UKAAMBIWA “LETA NIDA” — UTAKUWA TAYARI?
Cheti cha kuzaliwa?
Namba ya NIDA?
Usisubiri hitaji likufikie ndipo uanze kutafuta suluhisho.
📲 Tunakusaidia kuanzisha maombi mtandaoni, hatua kwa hatua.
Leo ni maandalizi. Kesho ni matumizi.
Usiachie nyaraka zako mpaka ziwe sababu ya kuchelewa kwako.
HUDUMA KIDIGITALI
Umbali siyo sababu tena!.
01/09/2026
Mwezi mpya, ukurasa mpya.
Usibebe jana kwenye safari ya leo—fungua milango mipya, chagua hatua mpya, na acha matokeo yazungumze.
Heri ya mwezi mpya kutoka Huduma Kidigitali.
Septemba iwe mwanzo wa mambo unayokuja kuyakumbuka kwa tabasamu.
24/08/2026
Leo tunasherehekea siku yenye ujumbe wa upendo, amani, huruma na umoja.
Katika siku hii yenye baraka, tunawatakia wewe na familia yako moyo wenye amani, nyumba yenye furaha na maisha yaliyojaa baraka.
Upendo uongezeke. Amani itawale. Baraka zisitoweke.
~Huduma Kidigitali.
18/08/2026
Cheti cha kuzaliwa kinahitajika leo… lakini unataka kuanzia kwenye foleni?
Acha nikuambie ukweli mchungu...... Unapoteza muda.
Usisubiri mpaka cheti kikuhitaji ndipo uanze kukitafuta.
Kupitia Huduma Kidigitali, tunakusaidia kuomba huduma ya cheti cha kuzaliwa mtandaoni kwa urahisi, bila usumbufu wa kuzunguka huku na kule.
Rahisisha leo kile ambacho kesho kinaweza kuwa dharura.
Unahitaji cheti kipya, cheti cha kuzaliwa kilichopotea au unahitaji msaada wa maombi?
Tuma ujumbe sasa — tukusaidie hatua kwa hatua.
📞 255618422605
📲
18/08/2026
Unahitaji Namba ya NIDA lakini bado unasubiri “kesho”?
Usingoje mpaka huduma fulani ikwambie: “leta Namba ya NIDA” ndipo uanze kuhangaika.
Namba ya NIDA inaweza kuwa muhimu kwenye huduma mbalimbali—ifanye iwe tayari kabla hujaikosa.
Huduma Kidigitali tunakusaidia kuomba Namba ya NIDA mtandaoni kwa urahisi, bila usumbufu wa kuzunguka bila kujua pa kuanzia.
Usihangaike tena. Tuma taarifa zako, sisi tukusaidie hatua kwa hatua.
📞 255618422605
📲
Huduma Kidigitali — tunarahisisha huduma, wewe unaendelea na maisha.
Pata namba ya NIDA ndani ya siku chache tu ...kwa maombi ya mtandaoni
15/08/2026
Jumapili Njema kutoka Huduma Kidigitali!
Leo acha presha ipumzike, moyo upate amani na roho ijazwe tumaini jipya.
Pumzika. Omba. Jenga upya.
Wiki mpya inakuja—na huenda ikawa mwanzo wa jambo kubwa ulilokuwa ukilisubiri.
— Huduma Kidigitali
Huduma rahisi. Maisha rahisi.
12/08/2026
UNATAFUTA HUDUMA? USIPOTEZE MUDA.
Kuanzia RITA, NIDA, HESLB, Udahili wa Vyuo hadi Ajira Portal — tunakusaidia kurahisisha mchakato na kusonga mbele bila usumbufu.
⚡ Rahisi. Haraka. Kidigitali.
🎯 Unachohitaji, tunakusaidia kukifikia kwa hatua sahihi.
Usizunguke. Usijichanganye. Tuma ujumbe — tuanze.
📲 Call/WhatsApp: +255 618 422 605
Huduma Kidigitali
— Digital convenience knows no borders.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Uyole
Mbeya
255