KP FARM
https
TUNAUZA VIFARANGA WA WIKI HADI MWEZI ,TUNATOTOLESHA MAYAI YA KUKU ,KANGA PAMOJA NA MAFUNZO YA UFUGAJI KIBIASHARA NA WENYE TIJA KUPITIA VIKUNDI ,TAASISI , KAMPUNI ,MASHILIKA NA WATU BINAFSI
+255694103055 MWANZA TANZANIA
Message kp farm on WhatsApp.
Mambo muhimu ya kuzigatia unapotaka kuanza ufugaji wa kuku kibiashara
mbegu Bora
Elimu sahihi
Chanjo $madawa kwa wakati
Usimamizi wa mladi
Chakula Bora
Banda Bora
Upatikanaji malighafi na pembejeo katika eneo ulipo mladi
Usafi wa kutosha
Masoko ya uhakika
Muhimu usichanje au husitibu kuku wakati wa ugonjwa utakuwa umechelewa
Tunapatikana mwanza+255694103055
Poultry for your future
Kalibuni Kp farm kwa huduma Bora 🔥🙌 ni uhaminifu na uhakika 100% chanjo nazo ni uhakika Tunapatikana mwanza Tanzania derivery popote ulipo WhatsApp. https://wa.me/255694103055
31/07/2026
Please follow and share this account page to get more information about poultry farming business like
Poultry Training session , schedule orders
Visit WhatsApp account
Message kp farm on WhatsApp. https://wa.me/255694103055
Location mwanza Butimba
Kp farm
Poultry for you future
Je unapenda kufunga kuku ila unaogopa changamoto zinazotokana uleaji wa vifalanga sasa husijari kp farm tunakuuzia vifaranga waliofikia wiki tatu mpaka mwezi waliopitia pulukushani pamoja na chanjo zote karibuni tunapatikana mwanza butimba 0694103055 tutakusafilishia mahali ulipo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nyamagana
Mwanza