APL MEDIA
TUNATIMIZA NDOTO ZAKO , MFANYABIASHARA NA MTEJA NITUNU YA MAFANIKIO KWETU 🙏
07/04/2026
Sisi ni APL MEDIA tupo hapa kwani Biashara yako kipaumbele chetu.
SITE FM AWARDS 2025✅
Muonekano wa tuzo zetu 😋
Sauti ya mamlaka kutoka kitengo cha APL MEDIA inatukumbusha tiketi zipo ni kwanzia 10,000 regular, 50,000 VIP na 100,000 VVIP
Location: Namtumbo ukumbi wa Dkt Samia Suluhu Hasani Girls Sec School kwanzia majira ya saa kumi na mbili jioni.
07/04/2026
Lile tukio la kihistoria limefika mezani APL MEDIA natumelipokea🤲
Tarehe 11 jumamosi mwezi April 2026 tunakutana Namtumbo kukamilisha historia iliyo anza kuandikwa 2025 katika tuzo za Huku mgeni Rasmi ni W/katiba na sheria Mh Juma Zuberi Homera na burudani kutoka kwa wasani wa Nyumbani Songea huku Dogo Pateni akikamilisha heshima ya burudani 💥
THE NIGHT OF EMPOWERMENT PRAISE AND WORSHIP,
Tukutane tarehe 8/5/2026 Ukumbi wa Bombambili Songea mjini🙏 vijana watashibishwa neno la uzima pia njia za kupita ili kufanikiwa katika maisha👍
07/04/2026
Tunayo furaha kutangaza ushirikiano wetu na kanisa la CCG lililopo chini ya Pastor philipo Mollel , katika kufanikisha tamasha la The night of Empowerment praise and worship, litakalo fanyika tarehe 8may2026 Mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa kanisa katoliki Bombambili kwanzia majira ya saa mbili usiku mpaka baadae sana 🙏 Aplmedia tupo nayo hii💥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Songea
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 20:00 |
| Tuesday | 08:00 - 20:00 |
| Wednesday | 08:00 - 20:00 |
| Thursday | 08:00 - 20:00 |
| Friday | 08:00 - 20:00 |
| Saturday | 08:00 - 14:00 |
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when APL MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.