Kienyeji Pro Max

Kienyeji Pro Max

Share

welcome

08/05/2025

SHINDU LA KIHAYA
----------------
Episode (1)
_____________

Ilikuwa ni mitaa ya uswahilini kidogo,mahali ambapo gari nzuri kuwasili ni kwa nadra sana,kwa jina mtaa huo ulijulikana k**a Machinjioni.Wengi wakazi wa huko walikuwa ni waswahili.
Kuna familia moja ambayo ilikuwa inaishi maisha ya kitofauti kidogo japo hawakujitangaza kwa majirani.Maisha ya kubadilishana mboga nzuri na kuvaa vyema hakukuwapiga chenga,kazi ya mama huyo ilikuwa ni kuuza samaki wabichi kabla ya kuwa na maisha mazuri ya kubadilisha mboga wanazozitaka,na walikuwa wawili tu wanaoijenga familia hiyo,mama na mtoto wake aliyeitwa Lisa.
Lisa alikuwa ni msichana mzuri sana kupita maelezo,alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha nne,aliwatoa udenda vidume wengi sana mtaani kwao.Kingine kilichomfanya apendwe zaidi na watu ni kutojiona mzuri na kujisikia,aliwapenda watu wote na kuishi nao k**a ndugu zake.Kuna muda akipiga dili la maana basi anawapa fedha kidogo watu waliomzunguka kwa mti
https://gonga94.com/semajambo/shindu-la-kihaya-episode-1

08/05/2025

SHEMEJI KAUTAKA

Sehemu -01

Inapoanzia ni kwenye harusi ya mdogo wake Richard aliyefunga ndoa na mrembo aitwaye Rahma. Kijiji kizima cha Mbuyuni kilikusanyika kushuhudia tukio hilo kubwa. Richard alikuwa kijana mpole, lakini mkewe Rahma ah! mrembo kupita maelezo. Mwili wake ulijengeka k**a pyramid za misiri , mwili rangioja rangi nyeupe , macho k**a goroli.jicho hata asipokuita lazima uende yaani naweza kusema hii ni pisi kali ya kwenda. >>>
https://gonga94.com/semajambo/shemeji-kautaka-sehemu-01

04/05/2025

The Ancient 4,500-Year-Old Tunic at the Egyptian Museum.

04/05/2025

402645Hey
Dua Lipa - ACTRESS
The Hidden Secrets Behind Dua Lipa’s Stellar Success---------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
In the dazzling world of pop music, few stars shine as brightly as Dua Lipa. With a career that has seen meteoric rise, chart-topping hits, and a legion of adoring fans, the 28-year-old British-Albanian singer-songwriter has become a global sensation. Yet behind the glitz and glamour lies a web of secrets that contribute to her phenomenal success. From hidden inspirations to strategic career moves, here’s an inside look at the untold facets of Dua Lipa’s journey to superstardom.
A Star is Born: The Early Struggles
Dua Lipa’s path to fame wasn’t paved with gold. Born in London to Albanian parents, Lipa’s early lif

01/05/2025

SITAKI KURUDI NYUMBANI

?Mwandishi: Kelvin Mlowe

?Kwa majina naitwa John wengi hupenda kuniita joooooooh kwanza kabisa kijiji kizima mimi ni handsome boy sijisikii lakini huo ndo ukweli wangu .....

?K**a hutaki basi mi sipo hapa kukulazimisha ila ndo ivo .....

?

?

?

?Nilikuwa nimekaa zangu kwa amani, nikinywa uji wa dona nyumbani kwa mama, ghafla mwenyekiti akanipigia simu.

?

?“Rashidi! Tuna mzigo wa dawa , unatakiwa kupelekwa kijiji cha Limbuso. Kijiji cha sita kutoka hapa ni safari ya masaa matano na Ni porini, lakini usiwe na wasiwasi, ni kazi rahisi tu ya siku moja,” alisema kwa sauti ya kiongozi.

?

?Nikakubali bila kufikiri sana. Nilidhani ni safari ya kawaida maana ndo vitu vyangu japo udhaifu wangu ni sketi tu yaani hapo huniambii kitu . Nikapakia mzigo kwenye pikipiki ya kijiji, nikavaa raba zangu na nikaanza safari.

?

?Lakini nilipofika maeneo ya fulani baada ya kupita vijiji vinne njia zikaanza kubadilika. Hakukuwa na network, hakukuwa na hata watu sio siri niliogopa , na mbaya zaidi... nilianza kusikia sauti za wanyama porini.

?BAADA YA MASAA KADHAA......

?

?Kufika Limbuso ilikuwa k**a kuingia dunia nyingine.

?

?Kijiji hicho kilizungukwa na miti mirefu, maua yenye harufu ya ajabu, na nyumba zilizojengwa kwa muundo wa kipekee baadhi zilionekana k**a ziliundwa na mikono ya wanawake wenye ustadi wa kipekee.

?

?Nilipokelewa na msichana mmoja mwenye ngozi ya chokoleti safi, macho makubwa k**a ya paka, na mdomo uliopambwa kwa rangi fulani . alikuwa anachota maji nilikuwa namuangalia huku naendesha pikipiki saa ngapi nisivamie mti ....paaaaaaah nikainuka haraka

?Kumbe aliniona akaaanza kunicheka

?Duuuhhhh niliaibika ila pikipiki haikuharibika maana nikiharibu sijuwi nitarudi vipi ? Na nitaeleza nini kwa wanakijiji maana pikipiki ipo moja kijiji kwetu walichangia na kuinunua ......

? >>>
https://gonga94.com/semajambo/sitaki-kurudi-nyumbani-mwandishi-kelvin-mlowe

01/05/2025

KWANINI NISIWAPE WAKATI HAWAONDOKI NACHO
BY ZAMRATA MBWANA

EPISODE 3
Basi nilipiga kelele mno yule mmasai alinikimbilia na mimi nilikuwa nimeshika tu mguu wangu "Nyoka! Nilisema huku nikiwa na lia kinafki "Khe ! Nyoka amekugonga wapi !

"Apa ! Nilimshikisha kwenye paja langu "khe! Amekugonga huku au muguun! Nilimshikisha katika pj huku na baadae niliupeleka mkono wangu mpaka ikulu kwangu
"khe ! Mbona sikuelewi ni kweli umegongwa na nyoka wewe ? Jamani mmasai mshamba huyu sijui hata kipi asichokielewa yeye mbona kapooza hivi ivi wamasai wote wapo ivi jamani >>>
https://gonga94.com/semajambo/kwanini-nisiwape-wakati-hawaondoki-nacho

01/05/2025

WATOTO MAPACHA ,

Sehemu ya ,,,,,. 5

Mama stefano moyo ulilia PAAAH,,,!!

Akajishika kifuani na kujiuliza kwanini hali k**a ile inamtokea ,

Kule nnje stefano na Celina wakat wanabishana baba Stefano alikuwa anarud kutoka kazini ,akapaki gari lake dogo Toyota Mack 11

Wakati anashuka macho yote yalikuwa kwa Celina ,

Alijiuliza mbona huyu mtoto kafanana na mke wake ,

""Shikamoo baba ,,"" >>>
https://gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-5

01/05/2025

KISURA WA DAMPO 11
(nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo)
Mwandishi HURU MEDIA

Basi akaagiza chakula na wakati huo sikuwa na hamu ya kula kabisa yaan, basi nikawa nasikia raha kumuona namna ambavyo anatafuna chakula, akaniuliza “ vipi nikuletee na wewe chakula?...
“ hapana ww kula tu mimi nimeshiba, nikajibu na mack akataka kuagiza kitu ila nalipoona nimekazia kuwa sitaki kula akakubali, akala pale na baada ya hapo muda ulikuwa umeshaenda, akanichukua tukapanda kwenye gari na safar ya kwenda kisongo ikaanza,… >>>
https://gonga94.com/semajambo/kisura-wa-dampo-11-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-11-15

26/04/2025

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 30, 31, 32,
Mwanangu. Lidya naomba tuondoke hapa.....
Yule mzee alietoka humo ndani ni mzee hatari sana.
Ndiye aliniteka na kuagiza watu wake wanibake na kwenda kunitupa porini.....

Sikutaka anione jamani..." "" uuuuuhhhhhhhh..
Naomba tuondoke.... > https://gonga94.com/semajambo/nasema-kwa-mama-sehemu-ya-30-31-32

26/04/2025

SIMPENDI MFANYAKAZI WETU ?EPISODE 1
Rashidi aliona ndoto zake zikififia. Alijua kuwa hakukuwa na msaada wowote. Hakuna aliyemjali. Kila siku alishuhudia mama yake akihangaika, akienda kwenye mashamba ya watu kulima kwa ujira wa chakula kidogo tu. Wadogo zake walimwangalia kwa macho ya tumaini, wakidhani labda angeweza kuwaokoa kutoka kwenye janga la umasikini.
?
?Lakini angewezaje, wakati hata yeye alikuwa akihangaika?
?Hatimaye, alichukua uamuzi mgumu. Aliamua kuondoka kijijini, kutafuta kazi mjini. Alianza kuuza maji kutembeza tembeza karanga > https://gonga94.com/semajambo/simpendi-mfanyakazi-wetu-episode-1

26/04/2025

KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 4
tulizaliwa wawili mimi pamoja na mdogo wangu, akasema Yule bint kisha akamuita yule mdogo wake na akaja mpaka walipo kisha akasema “ huyu hapa, na baba yangu alikuwa anafanya kazi bank mpoja hivi, ila nilipokuwa nina miaka saba na mdogo wangu akiwa na miaka minne, baba yangu alipata ajali, tena kwenye gari lake mwenyewe, aligongwa na lorry na kufariki hapo hapo, na hapo ndio maisha yetu yalibadilika, maana nilikuwa nasoma pale green valley na wakati huo nilikuwa darasa la pili, ila baada ya baba kufariki nikaacha kabisa shule, na ile miradi ambayp baba yangu aliifungua alifungua kwa majina ya ndugu zake, na hakuwa anamuamin kabisa mke wake, na hata nyumba ambayo tulikuwa tunaishi ilikuwa
> https://gonga94.com/semajambo/kisura-wa-dampo-nilizaliwa-na-kichaa-nikazaa-na-ceo-sehemu-ya-4

26/04/2025

?MZEE WA BAKORA(midfida kisheti) 1
Basi majira ya usiku chumba namba sita alikuwa anaishi binti mmoja ambaye ni mwanachuo alikuwa akiongea na mpenzi wake akimuomba hela amlipie kodi lakini mpenzi wake alimjibu kwa sasa hela hana basi yule binti kwa jina la leah hakuwa na pingamizi kwa sababu anamjua mpenzi wake k**a. Akiwa akiwa nayo asingeweza kumnyima au kutokumtumia basi alitoka zake na kwenda kutembea tembea huko mtaani kidogo..... > https://gonga94.com/semajambo/mzee-wa-bakora-midfida-kisheti-1

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Songea?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Ruvuma
Songea
55555

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kienyeji Pro Max posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Songea.