albertomsando

albertomsando

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from albertomsando, Public Figure, Ubungo.

10/09/2026

You have a right to delete, undo, and restart in life. Note:

10/09/2026

Picha ya kwanza ni baada ya kupanga kilichokuwepo kwenye picha ya pili. Hili ni eneo la barabara ya Ubungo - Kinyerezi. Wafanyabiashara waliokuwa wameziba njia na mtaro wamerudi nyuma na kushiriki uboreshaji wa fremu zao. Tumefanikiwa bila kuharibu hata nyanya moja!! Leo wafanyabiashara ambao hawajawahi kumiliki fremu ya biashara wanamiliki na kulipa kodi kwa kiwango cha serikali badala ya kulanguliwa na wachache waliojimilikisha maeneo. Hongereni Ubungo Manispaa na Tanroads HQ kwa usimamizi. Hongera SANA Angellah Kairuki kwa kuhamasisha na kuwezesha zoezi hili kuanza.

06/09/2026

Ukiamka asubuhi na kurudi nyumbani salama ni jambo la kumshukuru Mungu. Kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro haswa eneo la Magomeni Mpaka Kwembe kumekuwa na ongezeko la ajali za Bajaji na Pikipiki. Ajali hizi kwa kiasi kikubwa sababu ni UZEMBE. Abiria ambaye umepakiwa na kulipa nauli yako unaruhusu dereva anaweka maisha yako rehani KIZEMBE. Sawa tunawakamata na kuwachukulia hatua ILA hatuna UWEZO wa kurejesha UHAI wako au ULEMAVU wa kudumu. Suala la Usalama wa Barabarani ni la kila mmoja wetu. Utache kushiriki UZEMBE wa madereva. Unayo haki na mamlaka ya kumwambia dereva akushushe kwa mwendo wa kasi au kuvunja sheria kwa makusudi. Toa taarifa mara moja ikiwa ni pamoja na namba ya chombo cha usafiri. Usalama wako, jukumu lako. Ahsanteni. NB: Picha hii ni ajali iliyotokea Barabara ya Morogoro. Madereva wa Bajaji na Pikipiki walipata majeraha na kutibiwa.

Photos from albertomsando's post 02/09/2026

Kwa wiki tatu sasa tumeendelea na zoezi la kuwapanga wafanyabiashara wadogo (wamachinga) eneo la Malamba Mawili. Tumefanikiwa kuwasogeza baadhi kutoka kwenye maeneo hatarishi na kuwapanga kwenye hifadhi ya barabara ya Ubungo - Kinyerezi na kuboresha maeneo yao. Zoezi hili linasimamiwa na viongozi wao wenyewe pamoja na Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Msigani. Kila mmoja anastahili eneo lililoboreshwa ili kujipatia kipato. Kazi na Utu. Ubungo Manispaa OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI Tanroads HQ Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania Viwanda Biashara WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII Wizara ya Ujenzi

Photos from albertomsando's post 02/09/2026

Kaka yangu, ndugu yangu Ally Bananga. Nakuombea Mungu akujalie afya njema na kukupa baraka zake wakati wote. Wewe ni mtu mwema sana. KANZULAND tulipokosea mtusamehe. Tutajirekebisha.

Photos from albertomsando's post 30/08/2026

I have seen you blossoming. I have witnessed your hard-work. I have no doubt about your ability. You are the representation and the symbol of A+. We as a family are very lucky to have a daughter with your character. Saying you are full of determination and perseverance is an understatement. Keep going G. You are a start. And thank you for the book you have written. 🙏🏿 Georgina George Mwaria georgemwaria Msando Law Office Aq AsellaGM Jacqueline Malai Msando Sianga Ivy Rozina Lemama Jema

29/08/2026

The legs. The movements. The shot.

29/08/2026

Law 20: DO NOT COMMIT TO ANYONE

It is the fool who always rushes to take sides. Do not commit to any side or cause but yourself.

By maintaining your independence, you become the master of others — playing people against one another making them pursue you.

28/08/2026

Sometimes.

27/08/2026

Mabasi yote safari zianzie stendi ya Magufuli kwa mujibu wa Sheria Ndogo za Manispaa ya Ubungo za Mwaka 2022.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Ubungo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Ubungo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when albertomsando posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Ubungo.