Frank Rashid Hamisi

Frank Rashid Hamisi

Share

Bi bora kuishi siku moja k**a simba kuliko kuishi myaka100 k**a kondoo

01/10/2025
01/10/2025

watani mumepigwa hapo

11/06/2025

I stand with you my president ✊🏽

13/05/2025

Accepting, denying, many African countries are going to be overthrown by the forces. It must be so that we can achieve our grandfather's dreams.

08/05/2023

HAYA MAISHA!
Siku ya kwanza nilipo ingia mochwari (mortuary), nilichokiona Ni ngumu mno kueleza. Kwanza niliona maneno yameandikwa (TULIKUWA K**A WEWE) na kuelekea mlango wa kutokea niliona maneno yameandikwa (HIVI KARIBUNI UTAUNGANA NASI).
Mh..! Kwa hakika niliogopa Sana kuona miili ya watu ikiwa imelazwa katika sakafu pasipo kufunikwa kitu. Kulikuwa na maiti zaidi ya hamsini mingine imelazwa katika vitoroli (Jerry cans), mingine katika meza za kuoshea maiti, mingine ndani ya majokofu. Kulikuwa na miili ya watu wa jinsia zote.
Tukasonga ndani zaidi kuelekea mahali ulipo hifadhiwa mwili wa ndugu yangu. Tulipoufikia mhudumu wa mortuary alifunua na ulikuwa haujavishwa nguo na umelazwa juu ya ubao. Nilimuangalia Sana marehem ndugu yangu akiwa amelala pale utupu, hakuweza hata kufunika utupu wake kwa mikono yake, Wala kupinga chochote kile. Nikajiuliza Sana NINI MAANA YA MAISHA.?
👉Kwanini tunatumia nguvu nyingi kutaka kumiliki kila kitu katika dunia hii na wakati mwingine hata kwa kuwaumiza wengine?
👉Kwanini tunakiburi, majivuno na ubinafsi K**a tunaimiliki dunia na pumzi ya uhai wetu?
👉Kwanini hatuwezi hata kuwasamehe watu wanaotukosea huku tukijihesabia haki kana kwamba Ni malaika?
👉Kwanini hatuwezi hata kumkumbuka Muumba wa Mbingu na nchi tunapokuwa hai?
Niliona matajiri waliokuwa na majumba, waliokuwa na degree na PhD, waliokuwa na magari ya kifahari, waliokuwa viongozi majasiri na mashupavu, matajiri na masikini, wanawake wazuri wenye mitindo mbalimbali ya nywele wote wakiwa wamelazwa humo ndani kimyaa kabisa.
Nikajisemea moyoni kumbe maisha sio kitu na niyamuda tu, cheo Ni Cha muda, utajiri na heshima vyote Ni vya muda tu. Sijui lini nitaondoka katika dunia hii lakini niliona vile nitakavyokuwa siku pumzi yangu itakapoondolewa.
👉 Ninatamani na kutaka kuwa Bora zaidi ya Jana yangu katika unyenyekevu,kusamehe,kupenda na kujali wengine, kumuabudu Mungu na kumtumikia. Kwa kuwa maisha niliyonayo Ni ya muda na tena kifo hakitazami status ya mtu.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Zanzibar?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Pwani
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frank Rashid Hamisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Zanzibar.